Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Una mapesa mengi?Mambo nimekuzimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mapesa mengi?Mambo nimekuzimia
Sitaki tena unikome,kujuana juana sana mwisho ujuan3 na majini komea hii hiiUfanye nizijue basi au hadi nikukamate tena
hahahaMtuache nyie mmeshiriksha nanii
Ila davido nae naipenda nyimbo yake ya fall
Jidai sasa hivi na ole wako ukibananishwa uniite [emoji57][emoji57]Sitaki tena unikome,kujuana juana sana mwisho ujuan3 na majini komea hii hii
Ana nyimbo na major lazer pia,...hio nyimbo na chris ilirecodiwa tangu 2015.wiz nae hana wasanii wengine wa kushirikisha ni Chriss na drake tu?
[emoji57] [emoji57] [emoji57]ila mimi namkubali Davido
mambo ya wizkid ft drake kila mwaka nshachoka
hahahaaTeam wizkid davido atuliee
Najidai sasaJidai sasa hivi na ole wako ukibananishwa uniite [emoji57][emoji57]
Wiz anaimba wewehahaha
wazee wa wizki ft drake
hivi huwa hamchoki?
haaa!Wiz anaimba wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi wameniacha ubungo na mabegi yangu sijui niende wapi. Attiiiiii una remember say no be baba ne dey... Nimeelewa cure frog tu na remember say.Una remember say no be baba e no dey cure frog. I go see you later. Hii ni murder case ya kiingereza. Malkia mwenyewe akiwasikia Wanaijeria wanaongea hii lugha analia na kugalagala chini.
Tutaaminije mkuuJe wajua kwamba Wizkid na Drake hawajawahi kuonana face to face, despite the fact that wameshirikiana nyimbo kAdhaa ?
Tunaishi nao jiraniTutaaminije mkuu
FuatiliaTutaaminije mkuu
Kawaida yenu... msipomsikia kiba mnamtafuta aliko you love to hateHuna tofauti na mashabiki wa kiba,kila wanachokifanya wcb kwaajili ya kutengeneza maisha yao ya baadae,ila wao wanaona wanafanya hivo kwa ajili ya kushindana na kiba.
mi nawakubali wote aisee hata wapigane huko Nigeria mi sina timuila mimi namkubali Davido
mambo ya wizkid ft drake kila mwaka nshachoka