McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Hana au hajapata Davido Passport ambayo ni passport ya kimuziki itakayomfanya atoke Nigeria na kuvuruga mitaa ya US na kwingineko nje ya Afrika bila ya wasiwasi... aliyonayo ni David Adedeji Adeleke Passport inayomwezesha kwenda popote duniani na kufahamika kama David Adedeji Adeleke!Lakini davido naye Si kazaliwa state ina maana hana passport ???
Hilo tu usihofu Uncle Mag kanitikisa sana lakini hata robo ya income hajaweza kuitikisaUna mapesa mengi?
Kamsikilize Mpoto au ManfongoWizkid na Davido kila mtu ana uzuri wake wa Muziki. Hiyo sauti ya 'chura' ya Davido ni nzuri na ya kiume kuliko ya Wizkid. Sipendi wanaume wanaoimba kwa kubanabana sauti kama Diamond, Kiba na hata Wizkid kwa sehemu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mim wiz kid hata anye kitandani nitaona kanya davido tu [emoji23]
Hahaha hapana huko kwa sauti ya chura ndo upo kimakosa.hahahaa
mam huko uko ki makosa
njoo tim Davido bhana, au u ape da drake ft wizkid kila mwezi?
Hili dongo pale Dav alipofurahia Mr Ronado kumfollow sikapendi ka Wizz.Huyu davido ni mtu ambaye muda mwingi anautumia kum-stalk WizKid yaani kila anachofanya anafanya huku akimuwaza Wizkid, hana tofauti na Alikiba kwa Diamond.
Angalia huu uchokozi.
Hii ni fake beef .....aliicreate fan 2 ....kwa apo anamzungumzia future mwanamzki na footballer apo n cr7 bada ya cr7 kumfollow davido on twitter aftr his song line "they call me Mr ronaldo".....so apo kdgo unawezapata pchaLizarazu said:Huyu davido ni mtu ambaye muda mwingi anautumia kum-stalk WizKid yaani kila anachofanya anafanya huku akimuwaza Wizkid, hana tofauti na Alikiba kwa Diamond.
Angalia huu uchokozi.
Najaribu kutengeneza video inayoonesha MALKIA akilia na kugharaghala chiniUna remember say no be baba e no dey cure frog. I go see you later. Hii ni murder case ya kiingereza. Malkia mwenyewe akiwasikia Wanaijeria wanaongea hii lugha analia na kugalagala chini.
naona na tekno kajifanya kuingia wiz kid kamuambia ukweliHuyu davido ni mtu ambaye muda mwingi anautumia kum-stalk WizKid yaani kila anachofanya anafanya huku akimuwaza Wizkid, hana tofauti na Alikiba kwa Diamond.
Angalia huu uchokozi.
naona na tekno kajifanya kuingia wiz kid kamuambia ukweli
Wizkid ni real hustler amekulia mtaa mmoja wa kiswazi huko Surele Lagosi, huu uswahili swahili wanaomletea hao akina davido anajua sana kwenda nao sawa.Ha ha ha ha ha. Duck face, kumbe wiz kid nae wa kwa kina diamond, Tandale. Kaniacha hoi aisee
Yaani nimecheka kweli kweli aisee.Wizkid ni real hustler amekulia mtaa mmoja wa kiswazi huko Surele Lagosi, huu uswahili swahili wanaomletea hao akina davido anajua sana kwenda nao sawa.