McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Hili beef la kazi hawa watoto nawaelewa sana wanashindana kupiga kazi yaani ngoma juu ya ngoma alafu ni hit songs hawataki utani wamefanya tuwasahau wadogo zetu hapa maana Sunche na Kapeto bado sijawaelewa wamevurugwa na nini mmoja kapiga kimya wakati mwingine anapiga yowe duh hakuna namna acha macho na masikio yarudi kwa wapopo kwa muda,namuelewa Starboy yuko real ni mwehu kweli na kiburi haswaaaa.