Davido Vs Wiz Kid beef laanza upya

Davido Vs Wiz Kid beef laanza upya

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Wasanii wakubwa ndani ya Africa Davido na Wiz Kid mwaka juzi walionyesha kuwa washapata na kupiga picha pamoja ila toka mwaka jana kumekuwa na beef la chini chini.
Hii imethibikitika baada Davido kuponda Wiz kid katika wimbo alioshirikishwa na Olamida "Summer Body"
Katika mmoja wa mastari Davido amesema " our Yankee passport/Dem say we local/You better catch up/I go see you later, ” mstari huo ulionekana kumponda Wiz Kid kwa kuringia passport ya kusafiria ya marekani na kujifanya msanii wa kimataifa na kwamba hatamkuta ivi karibuni.

Mstari huu unaonekana umegusa Wiz Kid na kutumia account yake ya twitter amejibu Davido kwa kusema kuwa atafute na yeye iyo passport ya marekani ili aende kutibu sauti lake la chura.
"My people make una remember say Yankee passport no be baba blue, e no dey cure frog voice."

Hata ivyo kwa mtizamo wangu beef ili linaweza kuwa kiki kwajili ya album ya Wiz kid inayotoka July 14 itwae Sounds from the other side ndani yake kutakuwa na wasanii wa kimataifa kama Drake na Chris brown

b49a675863161f4d92fd78afeb8c454c.jpg


9675fe9fd300656d61a09fa90ea86379.jpg


c7ed8d06d7078892a86f3c39d1bf5d80.jpg


Olamide ft Davido Summer Body
 
Haha haha...
Nitamcc paw hapa urudi jela. Au unataka umisike tehna jukwaani.

Ila wewe ni chizi eti nikuombe assit
Sijasema mim umesema weweee sasa hiv nnazo nyingi wafunge tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una remember say no be baba e no dey cure frog. I go see you later. Hii ni murder case ya kiingereza. Malkia mwenyewe akiwasikia Wanaijeria wanaongea hii lugha analia na kugalagala chini.
 
Back
Top Bottom