Davido x Chris Brown - Blow my mind

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sawa ... tuliza hasira basi
 
Rick rose na mwenzake neyo ambaye kwa saizi ana defense kwa kuzuia vibuku buku pale AGT ili apate chochote kitu. Rose nae kwasasa alichobakia nacho ni kile kitambi cha minyama isiyokua na mpangilio kwenye tasnia ya mziki hana utofauti na mo music wa hapa

Ne-yo + rick rise huwezi hao kuwafananisha na chris brown ambaye anakimbiza na [emoji91] song kwenye album ya indigo pamoja na no guidance ft Drake

Collabo aliyoifanya davido na chrisbrown imegonga vichwa vya wasanii wengi sana, kumbuka kila msaniii hapa africa ndoto yake kubwa ni kufanya collabo na wasanii ambao wako kwenye chat ili kukuza majina yao yawe popular zaidi duniani, sio kufanya collabo na wasanii waliopotea kwenye gemu kama neyo na huyo chibonge wakikurya (rose)
 
Hao "wasanii wetu" wanakuelewa basi?! Watachelewa sana yan..tatizo wanajigawa sawa hawapendani, au niseme kuna watu wanawagawa sana af sijui kwa maslahi ya nani
Instead of creating more content for the fans, they're fcucking busy with unnecessary kicks and social media trends 😠😠😠😠😩
 
Mwana Fa mwenyew anakushangaa ujue!
 
Dunia imebadilika sasa hata hao wamarekan wanahitaji kufanya mziki tofauti kwahiyo isiwashangaze sana na kujiona watz hatuwez davido kufanya kolabo na chris brown ni pesa yako hata psquare walifanya colabo lakini soko la marekani wasanii wafrika wameshindwa
 
Siyo rahisi kama unavyofikiria mkuu, tena RnB yenyewe iwe ya Marekani yenye mahadhi ya blues na soul.
RnB inaimbwa nchi nyingi dunian ila fleva zinatofautiana afro pop yenyewe inatofautiana nchi moja na nyingine (Africa) sijapinga hoja yako mkuu ila wameweza kumix fleva mbili tofauti
 
😂😂😂 nimecheka sana kweli hatuwezi kuwalinganisha neyo&rick Ross na Chris brown kwasasa hao jamaa hawana hit song neyo&Rick Ross hajaingia billboard hot top 10 kwa miaka kadhaa sasa.diamond amepata collabo nao wakiwa wameshashuka kimziki
 
Acha maneno ya ushoga dogo,usimfananishe neyo na Huyo shoga wako
 
Kwani Chris anaukubwa gani kumshinda neyo,omarion tu umefuatilia trends yake,na je neyo na Chris nani mkali basi mmpe credit tu yakutoa nao collabo
 
Kwani Chris anaukubwa gani kumshinda neyo,omarion tu umefuatilia trends yake,na je neyo na Chris nani mkali basi mmpe credit tu yakutoa nao collabo
Chris an a record kubwa kukueleze inahitaj uzi wake ila in short huyu jamaa ameuza millions of copies ya album zake ngoma zake kama(with you,kiss kiss,forever,I can transform ya na nyingine nyingi) zimekuwa certified double platinum by RIAA pia ameshinda tuzo 133 za(AMA's,Bet,Nickelodeon, teen choice award s na nyingine nying) pia katika album mpya ya indigo ngoma yake no guidance ft drake ipo no9 billboard hot top 100 inakuwa kazi kubwà kwa african artist kupata collab na wasanii wa nje ambao wanahit kwa mda huu
 
Ngoma ya kawaida sana, ntashangaa kama itahit
 
Mbona umemkandia sana RickRoss mzee, kakuibia mke? [emoji28][emoji28], RickRoss amedrop ndio ila sio kwa kiwango unachosema, still wamarekani wanamfatilia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] We jamaa unajua kusiliba eti Rick Rose Chibonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…