Davido x Chris Brown - Blow my mind

Davido x Chris Brown - Blow my mind

Hao "wasanii wetu" wanakuelewa basi?! Watachelewa sana yan..tatizo wanajigawa sawa hawapendani, au niseme kuna watu wanawagawa sana af sijui kwa maslahi ya nani
 
Wasanii wetu muige kutoka kwa wenzetu

hongera kwa Davido,but wimbo wa kawaida hauwezi kuwa "hit" halaf muache unafiki,video hii ingekua ni ya Mond mngegonga kitufe cha report youtube na kuwatag BASATA hadi ungefungiwa....ila.hapa mnajifanya sijui kuwaasa wasanii wetu eti waige kwa wenzetu kisa Davido wakati Mond alishafikia level za kugonga ngoma na Mnyamwezi Rick Rosse mkatia fitina kwa maboya wenzenu Basata.....ACHENI UNAFIKI NA UCHAWI WA KIFALA.
 
Kama imekuuma chomoa
 
Acha mambo ya ajabu wewe jamaa.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]davido ni nuksi aisee ... pia mjue video za sasa hazihitaji mbwembwe nyiiiiingi kama zamani
Hakuna kitu kigumu kama kuchanganya aina mbili za muziki (Afro-Pop and RnB) bila kupoteza uhalisia na wimbo uwe wa moto kama hivi. Inahitaji kutuliza sana akili na pia hao wasanii ni lazima wawe wamehusiana sana (very connected) katika kutengeneza hiyo kazi.

Nakupa mifano: Album ya NAS na Damian Marley iitwayo Distant Relatives, hawa walichanganya Reggae na HipHop bila kuvuruga. Halafu tena kuna wimbo wa Enya uitwao Adiemus, alichanganya Celtic Music and Afro Music na alitisha sana.

There is nothing hard like harmonizing music genres, especially when such genres are alien to each other. Hapa huyu Davido alituliza sana kichwa, penye ukweli lazima tuseme.
 
hongera kwa Davido,but wimbo wa kawaida hauwezi kuwa "hit" halaf muache unafiki,video hii ingekua ni ya Mond mngegonga kitufe cha report youtube na kuwatag BASATA hadi ungefungiwa....ila.hapa mnajifanya sijui kuwaasa wasanii wetu eti waige kwa wenzetu kisa Davido wakati Mond alishafikia level za kugonga ngoma na Mnyamwezi Rick Rosse mkatia fitina kwa maboya wenzenu Basata.....ACHENI UNAFIKI NA UCHAWI WA KIFALA.
Wimbo wa kawaida!!!
Kemea roho ya iblisi io mkuu.
I aint a fan of davido ila daah,kwa hii ngoma its lit
 
Kuna ule wa major lazor particular dah wale jamaa sijui waliwezaje kuchanganya mpaka ukatoka wimbo mkali vile .. marekani south Africa na Nigeria kweli kuna watu wanajua bana
Naam! Particular ni hatari sana.
Iliingia hadi BBC UK Top 40.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]team dabiliusiiibii hawatakuelewa
Hakuna kitu kigumu kama kuchanganya aina mbili za muziki (Afro-Pop and RnB) bila kupoteza uhalisia na wimbo uwe wa moto kama hivi. Inahitaji kutuliza sana akili na pia hao wasanii ni lazima wawe wamehusiana sana (very connected) katika kutengeneza hiyo kazi.

Nakupa mifano: Album ya NAS na Damian Marley iitwayo Distant Relatives, hawa walichanganya Reggae na HipHop bila kuvuruga. Halafu tena kuna wimbo wa Enya uitwao Adiemus, alichanganya Celtic Music and Afro Music na alitisha sana.

There is nothing hard like harmonizing music genres, especially when such genres are alien to each other. Hapa huyu Davido alituliza sana kichwa, penye ukweli lazima tuseme.
 
Sasa hapo wasanii watanzania wajifunze Nini? ngoma yenyewe ni ya kawaida video yenyewe haina maadili.sikiliza mtoa mada haijalishi ufanya mziki na Nani but the end of the day watu wanataka mziki mzuri ngoma ya mwanafa ya endelea tu ni Kali kuliko hata hii ngoma.
 
Hakuna kitu kigumu kama kuchanganya aina mbili za muziki (Afro-Pop and RnB) bila kupoteza uhalisia na wimbo uwe wa moto kama hivi. Inahitaji kutuliza sana akili na pia hao wasanii ni lazima wawe wamehusiana sana (very connected) katika kutengeneza hiyo kazi.
Nakupa mifano: Album ya NAS na Damian Marley iitwayo Distant Relatives, hawa walichanganya Reggae na HipHop bila kuvuruga. Halafu tena kuna wimbo wa Enya uitwao Adiemus, alichanganya Celtic Music and Afro Music na alitisha sana.
There is nothing hard like harmonizing music genres, especially when such genres are alien to each other. Hapa huyu Davido alituliza sana kichwa, penye ukweli lazima tuseme.
upon sahihi ila afro pop na RnB ina mix bila shida sema connection ni nzuri wameweza kumix fleva ya mziki wa Nigeria na USA vizuri
 
Back
Top Bottom