Davina: Nateseka kuzuiwa kumuona mwanangu

Uumwage kesho huo udaku

Hahaha hujapita huko? Shamimu na mumewe wamenangwa huko hadi basi....Jana alipostiwa kinjekitile ngwale amechambwa siku nzima. Bi mangi anadai eti ametishiwa kifo na kinje. Wanadai ni muuza sembe, kibamia, mkewe ni teja. Leo post ya kinje imefutwa
 
Huyu dame Malaya tu#huyo mtoto alizaa na jamaa mtoto wa Aziz Ally IGP wa enzi ya Nyerere,wifi yake alizaa na Banana Zorro walikua wanauzana kwa wasanii enzi zao mtu na wifi yake

Na yeye akaja akaolewa na shemeji ya banana Zorro. ..yani kaka mkubwa wa mke wa banana. ..umalaya akaachika..
 
Hahaha hujapita huko? Shamimu na mumewe wamenangwa huko hadi basi....Jana alipostiwa kinjekitile ngwale amechambwa siku nzima. Bi mangi anadai eti ametishiwa kifo na kinje. Wanadai ni muuza sembe, kibamia, mkewe ni teja. Leo post ya kinje imefutwa

hana lolote anataka umaarufu na aandikwe jf
hatumandiki asa hv
 
Huyo nae mwanamke balaaa yani mtoto ana miaka miwili unamuachia mume aleee?
 
Hahaha hujapita huko? Shamimu na mumewe wamenangwa huko hadi basi....Jana alipostiwa kinjekitile ngwale amechambwa siku nzima. Bi mangi anadai eti ametishiwa kifo na kinje. Wanadai ni muuza sembe, kibamia, mkewe ni teja. Leo post ya kinje imefutwa

Niliona ndio wanamuita kingwendu ,,na hua akipaniki anaandika gazeti hiloooo nilionako
Kibamia ni naniii hhhhhaaa
 
hana lolote anataka umaarufu na aandikwe jf
hatumandiki asa hv

Mi nishachoka kumuongelea aiseee et akasema mbona Jamii hiyo inshu wameiongelea umeniona mimii tu hhhhaaa
 
Hahaha hujapita huko? Shamimu na mumewe wamenangwa huko hadi basi....Jana alipostiwa kinjekitile ngwale amechambwa siku nzima. Bi mangi anadai eti ametishiwa kifo na kinje. Wanadai ni muuza sembe, kibamia, mkewe ni teja. Leo post ya kinje imefutwa

Leo nimepita huko basi wadau wake wanamtania mange kwa nini kafuta post ile ya drug wanamtaniajee ,kumbe kuna wengine anawaogopa,heeeeer wanamtania aiseee n
 
Sasa hivi mpaka mtoto aweze kujitambua yaan afikishe miaka 18 ndo anaruhusiwa kwenda kwa baba au kuchukuliwa na baba yake...hyo ya miaka 7 imeshafutwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…