Davis Elisa Mosha ni nani?

Davis Elisa Mosha ni nani?

Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi.
Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza mafuta pale Chalinze kwenye Filling Station ambayo leo anaimiliki

Davis Mosha kwa sasa ni miongoni mwa vijana wenye utajiri mkubwa sana hapa Bongo... ni ukweli usiofichika ni vigumu kuueleza namna alivyoupata hata yeye mwenyewe inamshinda...

Je wadau huyu Davis Mosha ni nani?? Wasifu wake?? MAfanikio yake

Lengeri
Mwachen mpambanaji WETU WA kichaga juhudi na bidii zimemfikisha hapoo alipoo
 
Drug hapana hilo namtetea...

Utajiri una siri nyingi sana ,yeye ndiyo anajua alifanya kitu gani akatoboa ,sisi wa nje tutaona tu anauza mafuta etc ila hakuna hata siku moja tajiri atakwambia siri ya mafanikio yake ila tu jua kwamba kuna michezo mingi inafanyika mpaka kutoboa.

"Nilianza na mtaji wa elfu 10 " - Shamim Mwasha Zeze -8020 Fashion(Now yupo nyuma ya nondo -maisha)
"Nilianza kuuza ukwaju wa azam na mtaji wa elfu 40,sasa naingiza zaidi ya 200m" - Niffer(Yahya Sponsor- Drug)
"Nilikuwa nauza mitumba ya karume" - Masanja(Mapoooda -Jarcarhire era)
"Nilikuwa naokota makopo" - Dayamondi(Diddy did it ,take that take that).

Story ni nyingi as if wao walikuwa wanauza ukwaju wa Mercury au waokota makopo ya dhahabu ndiyo wakatoboa.
 
huyu ndiye aliyekuwa akiomba baadhi ya matajiri wenzake wenye magari wajaze mafuta kweli petrol stesheni za dogo. ukizingua kwenye malipo dogo Davis anakuripoti, na Carlos wanavyomhanya na hela ya usumbufu lazima utatoa kwa ajili ya vijana wake wa kazi
Carlos ni A.M Alex Massawe Mtoto wa mjini?
 
Utajiri una siri nyingi sana ,yeye ndiyo anajua alifanya kitu gani akatoboa ,sisi wa nje tutaona tu anauza mafuta etc ila hakuna hata siku moja tajiri atakwambia siri ya mafanikio yake ila tu jua kwamba kuna michezo mingi inafanyika mpaka kutoboa.

"Nilianza na mtaji wa elfu 10 " - Shamim Mwasha Zeze -8020 Fashion(Now yupo nyuma ya nondo -maisha)
"Nilianza kuuza ukwaju wa azam na mtaji wa elfu 40,sasa naingiza zaidi ya 200m" - Niffer(Yahya Sponsor- Drug)
"Nilikuwa nauza mitumba ya karume" - Masanja(Mapoooda -Jarcarhire era)
"Nilikuwa naokota makopo" - Dayamondi(Diddy did it ,take that take that).

Story ni nyingi as if wao walikuwa wanauza ukwaju wa Mercury au waokota makopo ya dhahabu ndiyo wakatoboa.
Hahahahaaaaaa nimechekaaaa MPAKA basi ukwajuu WA mercury mbwaa hawa
 
Back
Top Bottom