jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Mwana kauza kampuni au sio
Namkubali sana huyu jamaa
Namkubali sana huyu jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loong fuckin tyme Fam!Zaman sana wee jamaa!
Drug hapana hilo namtetea...
Delina Apartment.Drug hapana hilo namtetea...
Ziko wapi hiziDelina Apartment.
Mwachen mpambanaji WETU WA kichaga juhudi na bidii zimemfikisha hapoo alipooDavis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi.
Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza mafuta pale Chalinze kwenye Filling Station ambayo leo anaimiliki
Davis Mosha kwa sasa ni miongoni mwa vijana wenye utajiri mkubwa sana hapa Bongo... ni ukweli usiofichika ni vigumu kuueleza namna alivyoupata hata yeye mwenyewe inamshinda...
Je wadau huyu Davis Mosha ni nani?? Wasifu wake?? MAfanikio yake
Lengeri
Ukalale hukoo??Ziko wapi hizi
Zipo Sinza.Ziko wapi hizi
Sawa sawa..Davis ni Mafuta zaidiDrug hapana hilo namtetea...
Mwachen mpambanaji WETU WA kichaga juhudi na bidii zimemfikisha hapoo alipoo
Drug hapana hilo namtetea...
Carlos ni A.M Alex Massawe Mtoto wa mjini?huyu ndiye aliyekuwa akiomba baadhi ya matajiri wenzake wenye magari wajaze mafuta kweli petrol stesheni za dogo. ukizingua kwenye malipo dogo Davis anakuripoti, na Carlos wanavyomhanya na hela ya usumbufu lazima utatoa kwa ajili ya vijana wake wa kazi
Hahahahaaaaaa nimechekaaaa MPAKA basi ukwajuu WA mercury mbwaa hawaUtajiri una siri nyingi sana ,yeye ndiyo anajua alifanya kitu gani akatoboa ,sisi wa nje tutaona tu anauza mafuta etc ila hakuna hata siku moja tajiri atakwambia siri ya mafanikio yake ila tu jua kwamba kuna michezo mingi inafanyika mpaka kutoboa.
"Nilianza na mtaji wa elfu 10 " - Shamim Mwasha Zeze -8020 Fashion(Now yupo nyuma ya nondo -maisha)
"Nilianza kuuza ukwaju wa azam na mtaji wa elfu 40,sasa naingiza zaidi ya 200m" - Niffer(Yahya Sponsor- Drug)
"Nilikuwa nauza mitumba ya karume" - Masanja(Mapoooda -Jarcarhire era)
"Nilikuwa naokota makopo" - Dayamondi(Diddy did it ,take that take that).
Story ni nyingi as if wao walikuwa wanauza ukwaju wa Mercury au waokota makopo ya dhahabu ndiyo wakatoboa.