Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

- Pole sana ninafanya kazi ya Social Media ambayo ina demand nionyeshe my lifestyle kwenye my Social Media tools, ila mimi binafsi ninayo maisha yangu mazuri sana na ninayapenda. Five Star Hotels huwa ninaalikwa kutokana na umaarufu wangu na nia yao huwa wanataka niwatangaze kuwa nimekula kwao.

- Toka Ramadan ianze nimekuwa naalikwa Hilton Hotel, kuanzia leo nimealikwa Serena ndio maisha yangu kutokana na kazi yangu, hayo mapovu yako sio fair cause huelewi kitu kuhusu my life, pole sana maana umetoka mapovu for nothing mimi I am just having fun with my life, na by the way sio Watanzania wote 55M wanaweza kula futari ya Tsh. 65K as I do.

- Tatizo lako ni huna maisha, wenye maisha hawana muda wa kujali mambo ya wenye maisha wengine ni MPAKA UWE HUNA MAISHA!

le Mutuz Superbrand
 
Unaona sasa ninayoyasema...? Hii ni sawa nakuonesha cheti cha kuhitinu form four kana kwamba umehitimu peke yako nchi nzima.hahahaahaha ushamba tu.. Wajukuu zako wenyewe hawawezi fanya upuuzi kama huu.. Siku zoote mtu anayejishow off sanaaaa hana lolote.
 
- Hizi ni leseni mpya za kazi zangu ambazo wewe huna ungekuwa nazo usingekuwa na muda wa kulia lia hapa, hapa kama unahitaji ajira karibu sana nitafute tu usione aibu hahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
Boss hiyo futari ya 65k kwa siku 30 ni Million 2 kasoro 50k.. Hii pesa si inatosha kuweka grills na hata milango miwili kwenye ile nyumba yako unayojenga?
 
Boss hiyo futari ya 65k kwa siku 30 ni Million 2 kasoro 50k.. Hii pesa si inatosha kuweka grills na hata milango miwili kwenye ile nyumba yako unayojenga?

- Ile nyumba siitaki naitafutia mnunuzi ila ya M bweni ndiyo ninaifanyia kazi, pole sana hahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
Nakufa
Nakufahamu IN and out huwezi kunidanganya mimi wadanganye hao majuha unaowadanganya.. Lifestyle yako naifahamu..huna uwezo huo unaosema. Mwenye uwezo hawezi kujisemea lifestyle yake.. Eti futari ya 65k hahaahahahahaha
 
Mzee baba onyesha hiyo mlio partner na mosha achana na hivi vi blog blog onyesha documents za AST tuone acha kujifaragua wakati mosha anamind mbaya kuhusu wew na utapeli wako kila siku ulikuwa unaomba pesa uende china mara wapi kumbe mbumbumbu tu
 
-

- Pesa sina sawa sawa niambie gharama ya kulipia hizi leseni, unaijua? huwa sijitambi kuhusu kuwa na pesa nimejifunza kwa baba yangu hana pesa, ila mimi ni pesa hahahahahahahhaa U know

le Mutuz Superbrand
 
Mzee baba onyesha hiyo mlio partner na mosha achana na hivi vi blog blog onyesha documents za AST tuone acha kujifaragua wakati mosha anamind mbaya kuhusu wew na utapeli wako kila siku ulikuwa unaomba pesa uende china mara wapi kumbe mbumbumbu tu

- Sihitaji kumuonyesha anyone, nenda Brela inaruhusiwa kuonwa na public, nipo ofisini kwangu now by the way napiga mzigo maneno maneno huwa sina zaidi ya maneno ya kazi kazi hahahahaha!

le Mutuz Superbrand
 
Jin
Boss hiyo futari ya 65k kwa siku 30 ni Million 2 kasoro 50k.. Hii pesa si inatosha kuweka grills na hata milango miwili kwenye ile nyumba yako unayojenga?
Jinga sana hilo linajiona jaja wakati nalifahamu vizuri tu..linapenda sifa sana na hayo matangazo linayopost kwenye IG zake mengi ni ya kujipendekeza linafanya bure na kuambulia ofa za msosi tu..
 
Ona hili Jinga. Embu angalia agemates zako wakina Mengi TV na radio stations zao halafu compare na hiyo camera na laptop (unayoita studio ya online TV) unayomiliki
 
- Sihitaji kumuonyesha anyone, nenda Brela inaruhusiwa kuonwa na public, nipo ofisini kwangu now by the way napiga mzigo maneno maneno huwa sina zaidi ya maneno ya kazi kazi hahahahaha!

le Mutuz Superbrand
mda utaongea tuu siku zote uendi against na past tutaona majigambo yako yataishia wapi babu yetu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…