hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Aiseeee "" Jamaa una AKILIDaaah boss unaongea sana mpaka unasahau unachoongea huko nyuma..
Aliyekudanganya Rostam kasoma huko Cambridge ni nani? Na umesema mfanyabiashara wa kweli hawezi kuwa mwanasiasa, mbona Rostam amekuwa mwanasiasa tangia akiwa kijana wa miaka 20 na akiwa na miaka 26 akawa Mbunge Igunga mpaka alivyojiudhuru..
Unautenganishaje utajiri wa Rostam na siasa?? Mbona Dewji kwako umemclassify ni uchwara wakati amesoma sana tu tena ni IST Alumni..