Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Ajabu "" kwakweli " yaani kabisa ...unakaa chini na huyu"" mnaongea plan za maendeleo makubwa makubwa ""
Kam humjui vizuri le mutuz utasema ni genious hata kina albert einsten wanasingiziwa u genious

Mara ya kwanza kumuona le mutuz nilimuona kwenye mboni show alitapiga ma fact tupu huku anasugua pua
 
watu wajue kutofautisha kati ya uzito wa mwili na uzito wa akili
waangalie hata mtu anavyo pangua hoja zake kazi kwelii
Mkuu nikupe tu taarifa
Kwenye kupanga hoja le mutuz anamshinda jiwe na paramangozi kabugi
So bora le mutuz ndio angekuwa rais au kiongozi mkuu hapa TZ
[emoji23] am joking u know
 
Mkuu umesharun any business? Bureau de change ni biashara ya wasio na akili? Hata manufacturing state of art kikubwa ni mtaji. Ofcourse know how utaajiri. Hata Mengi hakuwa amesomea journalism alipoanza na newspapers etc. kampuni zake pia kikubwa ni mtaji. Umesema mengi sahihi lakini naona kama kuna upofu flani uliosababishwa na extreme hate so to speak.
Huyu ndugu hana budi kuutakasa moyo wake aondokane na hiyo chuki maana ni kali sana!!!!....maana chuki hupofua macho na huchafua moyo!!!!

Amedhihirisha chuki alipoandika kuwa Mosha akiingia kwenye kikao cha ma Don wanatema mate kwa kuwa ananuka!!!!.....may be kuna jambo baya Mosha alimtendea ndugu yetu.......
 
- Pole sana ninafanya kazi ya Social Media ambayo ina demand nionyeshe my lifestyle kwenye my Social Media tools, ila mimi binafsi ninayo maisha yangu mazuri sana na ninayapenda. Five Star Hotels huwa ninaalikwa kutokana na umaarufu wangu na nia yao huwa wanataka niwatangaze kuwa nimekula kwao.

- Toka Ramadan ianze nimekuwa naalikwa Hilton Hotel, kuanzia leo nimealikwa Serena ndio maisha yangu kutokana na kazi yangu, hayo mapovu yako sio fair cause huelewi kitu kuhusu my life, pole sana maana umetoka mapovu for nothing mimi I am just having fun with my life, na by the way sio Watanzania wote 55M wanaweza kula futari ya Tsh. 65K as I do.

- Tatizo lako ni huna maisha, wenye maisha hawana muda wa kujali mambo ya wenye maisha wengine ni MPAKA UWE HUNA MAISHA!

le Mutuz Superbrand
Ila hapa kuna ka point
Ujumbe wako ni kuwa tuwe single mpaka uzeeni ili tu enjoy life

Le mutuz nyenyenyeeee le bachelor for ze damn 30 years you know Am humbled
 
Huyu jamaa kwa jinsi alivyo na maadui, anafanya matusi kweli make akifanya matusi afu akapitiwa na usingizi, kurekodiwa kupo njenje na picha ni zitakuwa dili.
Hahaha nimecheka sana
Mkuu una umri gani ? Coz umeandika kitoto eti kufanya matusi au wewe ni padre ? [emoji2]
 
34284481_948841185298280_5557511200817807360_n.jpg


- Thank U wewe piga kelele sisi tunaruka na ndege tunaofanana nao kwa akili, pole sana ila hapa mjini kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake!

le Mutuz Superbrand
Mkuu huu ni utoto kupiga picha na watu kuja kuzipost humu pale unapobanwa na member

It is just a peace of advice take it or leave it.
Am nat trying to provoke u
 
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi unamwani vp Lemutuz
 
Mkuu huu ni utoto kupiga picha na watu kuja kuzipost humu pale unapobanwa na member

It is just a peace of advice take it or leave it.
Am nat trying to provoke u
Le mutuz ni Bonge la mshamba fulani hivi, bado anafikiri kuwa mpambe wa Maliyamungu Bashite ni ujanja ndiyo maana kila akibahatika kuonana na mfanyabiashara mkubwa hupiga nae picha kisha kuisambaza hovyo hovyo huku akijidai walienda kuongea biashara, ebu jiulize biashara ndogo ya Swahili TV imemshinda ataweza biashara gani? Kwa sasa biashara yao haramu ya kula pesa za Umma pesa za walipa kodi kwa kazi ya kudidimiza Demokrasia, kuua upinzani, kuwanunua wabunge, madiwani na kurudia chaguzi kwa gharama kubwa ndiyo inamlipa kuliko biashara zake zote alizopata kufanya.
 
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi unamwani vp Lemutuz
CCM na Maliyamungu idd Amin Bashite wanamwamini kwa kazi ya kuhujumu chadema na upinzani kwa ujumla, lakini kwa mambo mengine ya Haki na msingi hata CCM na Maliyamungu Bashite nao hawamwamini kabsa.
 
Mkuu nikupe tu taarifa
Kwenye kupanga hoja le mutuz anamshinda jiwe na paramangozi kabugi
So bora le mutuz ndio angekuwa rais au kiongozi mkuu hapa TZ
[emoji23] am joking u know
Du.... !!! ... kwanza ujue Le mutuz ana Roho mbaya, pili ni mchoyo sana, tatu anapenda Zinaa ni mzinzi kupitiliza, akipewa cheo hata cha mkuu wa wilaya anaweza kufanya vioja ambavyo havijapata kutokea tokea Nchi ipate Uhuru wake, Le mutuz hafai kuwa kipngozi milele ni mtu mjinga mjinga sana hawezi kuongoza binadamu anafaa kufanya kazi kwenye kiwanda cha Sumu pekee.
 
Umehi kumpa show? Ni aibu kubwa kwa mwanaume kujadili size ya uume wa mwenzake. Haya n mambo vijiwe vya wadada
Mtu akiwa mwema na mwadilifu ni vigumu ahadiliwe na binadamu wenzake, ukiona watu wanamjadili Le mutuz mpaka kibamia ujue ana matatizo makubwa yafaa atubu na kujichunguza kisha aache Uovu kwani angekuwa ni mtu mzuri mwenye hekima, Upendo na busara sidhani kama wangehangaika kuijadili Bamia yake, yafaa Le mutuz ajitafakari na kujiongeza kwanza.
 
Mtu akiwa mwema na mwadilifu ni vigumu ahadiliwe na binadamu wenzake, ukiona watu wanamjadili Le mutuz mpaka kibamia ujue ana matatizo makubwa yafaa atubu na kujichunguza kisha aache Uovu kwani angekuwa ni mtu mzuri mwenye hekima, Upendo na busara sidhani kama wangehangaika kuijadili Bamia yake, yafaa Le mutuz ajitafakari na kujiongeza kwanza.
Pamoja na yote....mwanaume unahangaishwaje na size ya uume wa mwanaume mwenzako.....!!?

How does it bothering you...!!!?

Yes.....tunajua kuwa huyu ndugu ana mushkeli lakini wanaume wenzake kuujadili uume wake kwa kumsimanga.....inaleta picha mbaya na ukakasi...!!!
 
- Kama ninavyosema siku zote uongo usipojibiwa na ukweli na mapema sana hugeuka kuwa ukweli, ukweli ni kwamba:-

1. Mimi na Davis Mosha bado ni wamiliki wa AST, tulifika mahali tukakubaliana kwamba ili kupata faida KUBWA kuliko tuliyokuwa tunapata ni bora kukodisha TV na Radio zetu kwa yoyote anayeweza kuiendesha na kutulipa kila mwisho wa mwezi.

2. Walitokea watu wengi waliotaka kukodisha, lakini kwa pamoja tukaamua kuwakodisha tunaowafahamua zaidi yaani DIZZM.

3. Mimi na my patner Mosha hatujawahi kugombana wala haitakuja kutokea kwa sababu tunazo biashara nyingi zaidi ya TV na Radio, infact kila jioni ya mwezi huu wa Ramadan Mosha ana tabia ya kuwaomba marafiki zake wote kufika nyumbani kwake kufuturu na huwa ninahudhuria sana.

- Hii chuki na wivu wa my lifstyle haikuanza leo najua kwamba haitaisha leo, kwa taarifa yako ni kwamba hata kwenye my Online TV & Radio Mosha yupo very much involved, poleni sana ndio mawazo ninayoyaita ya masikini ukiwazidi huwa kazi yao ni kuombea uanguke uwe kama wao....hahahahahahaha.....tafuteni lingine kwenye hili mmekosea sio ukweli kama mengine yote ambayo huwa mnahangaika nayo!

- Otheriwse, ninawashukuru sana kwa free media coverage maana siamini mpaka leo 2018 bado Brand yangu "Le Mutuz Superbrand" ina nguvu ya kupata page 11 hata bila mimi mwenyewe kuwepo, nilikua busy sana ndio maana sikuwepo.

- Nilisafiri Cape Town/SA nilialikwa na Cape Town International Jazz Festival kwenye maonyesho yao ya Dunia ya kila mwaka, niliporudi nilisaifiri kikazi Mbeya, Mwanza, Mbeya nikarudi Mwanza tena na majuzi nilikua Dodoma, ndio maana sikuwepo hapa muda mrefu sana ila sasa nipo Dar.

le Mutuz Superbrand
Hili jamaa lijinga sana.kichwan hakuna kitu.sasa nan amekuuliza ulikua wapi?ulikua na nani?Acha matambo
 
Mtu akiwa mwema na mwadilifu ni vigumu ahadiliwe na binadamu wenzake, ukiona watu wanamjadili Le mutuz mpaka kibamia ujue ana matatizo makubwa yafaa atubu na kujichunguza kisha aache Uovu kwani angekuwa ni mtu mzuri mwenye hekima, Upendo na busara sidhani kama wangehangaika kuijadili Bamia yake, yafaa Le mutuz ajitafakari na kujiongeza kwanza.
Huoni kama wewe ndio unaonekana mwenye matatizo? Jadili matatizo yake positively, sio uume wake. This is disgusting brother.
 
Huoni kama wewe ndio unaonekana mwenye matatizo? Jadili matatizo yake positively, sio uume wake. This is disgusting brother.
Ndugu Naomba nikusaidie kushangaa katika hilo....!!!

Nimejitahidi kuwaza na kuwazua kuwa mwanaume anahangaishwa vipi na ukubwa au udogo wa uume wa mwanaume mwenzako..!!!!

Akili yangu inashindwa kuelewa na mwisho inanipeleka kwenye tafsiri mbaya!!!
 
Brother nakushauri vijana wako wa blog wanapokwenda kwenye event kufanya coverage uwe unawapa pesa ya nauli na pesa ya lunch, hata kama event haina chakula hilo jina la Super brand haliwezi kupata aibu.

Sina haja ya kuandika mengi unalijuwa hili, tupunguze ubabaishaji kulinda status.
Ahhh aisee ,kweli mkuu alinde status
 
Back
Top Bottom