Elerai ilianza akiwa fundi wa kawaida, fundi uashi miaka ya 70.. Miaka ya 80 au 90 mwanzoni akaisajiri ikiwa ni Class 7, leo hii ni Class 1.. Ni moja kati ya kampuni 5 kubwa za Ukandarasi nchini.. On his way he autosmarted most of the companies rulled by peeps with Bsc. Engineering.. Kuna wengi nawajua na vibachelor vyao vikampuni vyao bado vipi Class 7 wengine wamejitahidi wamefika Class 5..
Na ni nani amekwambia Elerai wont push further? Amesomesha watoto shule nzuri, amewawekea succession plan nzuri, no wonder in coming years watavuka boda.. Davis hajaquite bado,he is still pushing,miaka 10 baadae uje useme Davis ana kihoteli na sio mahotel.. Trump has been in business for almost 50 yrs, Davis sidhani kama ana hata miaka 30 kwenye biashara.. Judge him when he quite, he is still on his way to greatness..
Wabongo tuache wivu.. Najua sana inauma msomi umesoma lakini unaona wasiosoma sana wamekupiga bao..