Acha ushamba wa Chamwino na kolomije hiyo studio imejaa vifaa vya kichina bei rahisi hata msanii wa mazense uwanja wa fisi anaweza kuvimiliki.
- Eti watoto wote wa Tanzania waliomaliza darasa la Saba wanamiliki studio kama hii, hahahahahahhaha pole sana mkuu!
le Mutuz
Umeamua kujikosha tu lakini Story zako ni feki ni mjinga pekee anaweza kukaa akakuamini.- Sio ukweli kabisa, TV na Radio zilikuwa zinafanya kazi vizuri sana lakini siku moja Mosha akaamua kwenda njia nyingine akanifahamisha mapema na kunisaidia kufungua Online TV na Radio zangu akaikodisha ile, sijui kufeli kwake ni kupi ila ninajua kwamba ndio kwanza amenunua Hotel Mbugani na uwanja wa Golf kule Dolly Arusha inakaa wazungu wanaocheza golf tu!
le Mutuz Superbrand
Yule CEO hawakuwapeleka mahakamani? Hamkumtuhumu kuwa kala hela?- Sio ukweli kabisa, TV na Radio zilikuwa zinafanya kazi vizuri sana lakini siku moja Mosha akaamua kwenda njia nyingine akanifahamisha mapema na kunisaidia kufungua Online TV na Radio zangu akaikodisha ile, sijui kufeli kwake ni kupi ila ninajua kwamba ndio kwanza amenunua Hotel Mbugani na uwanja wa Golf kule Dolly Arusha inakaa wazungu wanaocheza golf tu!
le Mutuz Superbrand
Usitumie kivuli cha Mosha kukwepa lawama zako pekee , wewe ndiyo chanzo cha studio kudoda ulikuwa ukiendesha kishamba shamba ikakosa wadhamini ndipo akaikodisha lakini 9 na 10 wewe ni shiiiiida.- Mosha ni super business man mwenye IQ kubwa sana ya biashara na ni yeye aliyeamua kwamba ili kupata faida kubwa kwenye TV na Radio ni bora akodishe na imefanikiwa, sijui huyo jamaa ana nini maana naona kelele nyingi sana hahahahaha
le Mutuz Superbrand
Le mutuz ni shiiiiidaYule CEO hawakuwapeleka mahakamani? Hamkumtuhumu kuwa kala hela?
Vipi yule meneja mlimuajiri kule morogoro aliondolewa na nani ?
Na yule Dada CEO mpya alichemka vipi? Mliajiri watu toka eatv ikawaje?
Mkuu najua ishu ya hapo, CEO wenu alikuja sehemu tukaongea nae mengi kuhusu kuanguka kwa hy TV
Maybe awe muongo ,kuna staff yoyote mlimpa mkataba ?
Yaani unakana hata ya Ukweli? Ama kweli wewe ni balaa,.- Umekosea sana nimeishi Ikulu na my Uncle Balozi Lusinde, then nikahamia YMCA Hostel, baadaye Sido Hostel hapa hapa downtown then nikaenda majuu huyo unayemsema sio mimi hahahahahha!
le Mutuz Superbrand
Hahaha,shida kweliLe mutuz ni shiiiiida
Nakuelewa kiasi ila uhai wa ile TV na Radio ulianza kufa kwa yule CEO wake ,jamaa alivimba kichwa na ttz ni Mosha mwenyewe,jamaa alikua anajiona shemeji wa Mosha, akawa hataki ushauri kisa Dada kaolewa na Mosha ,wakawa wanavimbiana na Leo mutuz
CEO hakua na mipango ,CEO akajiona sehemu ya familia kisa shemeji
Mwisho wakapishana kiswahili, wakafukuzana ,wakaishia kupelekana mahakamani
Jamaa akaajiri mdada mwingine naye akafeli
Mwisho wa siku akashindwa kulipa hata mishahara
Le mutuz ni binadamu wa ajabu Duniani haoni Aibu kufanya chochote hata kama kinashitukiwa na wengi ni kiumbe asiye na soni ni kiumbe cha ajabu kilichosalia Tanzaniahii ni moja ya IDs za huyo jamaa anajifagilia mwenyewe..
[emoji1] [emoji1]Mkuu,zote ulizotoa hapo ni failures....Yaani upo sahihi sana!
Mosha yupo overrated na vyombo vya habari na hasa Lemutuz ndio alikua anamuweka kwenye mablogs,akawa overwhelmed
Sasa ikaja real mechi,kafeli...Mosha mweupe tu...
Amefeli kila mahali,sio siasa,ubunge moshi vijijini,sio yanga,sio Swahili Media,etc,etc....na Kobil will pull out their contract!
Natoka nae Moshi huko![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ushamba wa Chamwino na kolomije hiyo studio imejaa vifaa vya kichina bei rahisi hata msanii wa mazense uwanja wa fisi anaweza kuvimiliki.
Kwa maana hii Le mutuz na mosha bado ni marafiki? Je? wamefeli wote? au le mutuz yeye kakimbilia kwa Maliyamungu Bashite anakula pesa za Bajeti ya kikundi cha wasiojulikana na kuendeleza hujuma kwa chadema.Mkuu,zote ulizotoa hapo ni failures....Yaani upo sahihi sana!
Mosha yupo overrated na vyombo vya habari na hasa Lemutuz ndio alikua anamuweka kwenye mablogs,akawa overwhelmed
Sasa ikaja real mechi,kafeli...Mosha mweupe tu...
Amefeli kila mahali,sio siasa,ubunge moshi vijijini,sio yanga,sio Swahili Media,etc,etc....na Kobil will pull out their contract!
Natoka nae Moshi huko![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
- Sio ukweli kabisa, TV na Radio zilikuwa zinafanya kazi vizuri sana lakini siku moja Mosha akaamua kwenda njia nyingine akanifahamisha mapema na kunisaidia kufungua Online TV na Radio zangu akaikodisha ile, sijui kufeli kwake ni kupi ila ninajua kwamba ndio kwanza amenunua Hotel Mbugani na uwanja wa Golf kule Dolly Arusha inakaa wazungu wanaocheza golf tu!
le Mutuz Superbrand
Huko kwenu wewe pekee ndiyo una studio yenye vifaa vya kichina wenzako huko Tandale kwa Tumbo, vingunguti, Tandika, vigwaza, mburahati wana studio nzuri zenye vifaa toka USA wanakuzidi lakini huwakuti kujisifia kama wewe.- hahahaha ina maana na wewe unamiliki Studio kama hii au? hahahahahahhaha
le Mutuz Super brand
Usitumie kivuli cha Mosha kukwepa lawama zako pekee , wewe ndiyo chanzo cha studio kudoda ulikuwa ukiendesha kishamba shamba ikakosa wadhamini ndipo akaikodisha lakini 9 na 10 wewe ni shiiiiida.
Yule CEO hawakuwapeleka mahakamani? Hamkumtuhumu kuwa kala hela?
Vipi yule meneja mlimuajiri kule morogoro aliondolewa na nani ?
Na yule Dada CEO mpya alichemka vipi? Mliajiri watu toka eatv ikawaje?
Mkuu najua ishu ya hapo, CEO wenu alikuja sehemu tukaongea nae mengi kuhusu kuanguka kwa hy TV
Maybe awe muongo ,kuna staff yoyote mlimpa mkataba ?
Huko kwenu wewe pekee ndiyo una studio yenye vifaa vya kichina wenzako huko Tandale kwa Tumbo, vingunguti, Tandika, vigwaza, mburahati wana studio nzuri zenye vifaa toka USA wanakuzidi lakini huwakuti kujisifia kama wewe.
Mkuu,zote ulizotoa hapo ni failures....Yaani upo sahihi sana!
Mosha yupo overrated na vyombo vya habari na hasa Lemutuz ndio alikua anamuweka kwenye mablogs,akawa overwhelmed
Sasa ikaja real mechi,kafeli...Mosha mweupe tu...
Amefeli kila mahali,sio siasa,ubunge moshi vijijini,sio yanga,sio Swahili Media,etc,etc....na Kobil will pull out their contract!
Natoka nae Moshi huko![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa...kama umesoma posts zangu huko juu...Hoteli ni sector majitu yenye IQ ndogo hua yana tabia ya kuivamia...
Cha ajabu atakula za uso pia!
Biashara yenye kutaka constant innovation kama media hawezi kichwa maji yule!
Huenda hujui kwanini kaikimbia ila mkuu,tukiwa kama outsiders looking in,hiyo lane ya kila saa kichwa kiwe kibunifu hakuweza!
Sasa basi,tukienda kwa similarity theorem,sector ya technology hawezi,manufacturing hawezi,IT hawezi,engineering hawezi,etc ,maana hizi zinataka kichwa kipate moto masaa yote uwe ahead of the curve!
Your friend Mosha has been exposed!
Mkuu unacheka majibu ya le mutuz humu ,ahsante kwa kuweka mambo sawaMkuu,zote ulizotoa hapo ni failures....Yaani upo sahihi sana!