Hahahaaa...kama umesoma posts zangu huko juu...Hoteli ni sector majitu yenye IQ ndogo hua yana tabia ya kuivamia...
Cha ajabu atakula za uso pia!
Biashara yenye kutaka constant innovation kama media hawezi kichwa maji yule!
Huenda hujui kwanini kaikimbia ila mkuu,tukiwa kama outsiders looking in,hiyo lane ya kila saa kichwa kiwe kibunifu hakuweza!
Sasa basi,tukienda kwa similarity theorem,sector ya technology hawezi,manufacturing hawezi,IT hawezi,engineering hawezi,etc ,maana hizi zinataka kichwa kipate moto masaa yote uwe ahead of the curve!
Your friend Mosha has been exposed!