Mkuu usibishe,katika nchi zetu.
Watu wote ambao hawajaenda shule hua wanapenda kuuza mafuta ya uchuuzi kwenye sheli,malori,bureau de change,hoteli,real estate za kishamba,etc..Hiyo ndio trend yao!
Kuhusu Lemutuz kumuharibia biashara,kuna mtu alitoa hoja nzuri hapo juu,kua,Mtu mmoja kama Lemutuz hawezi vuruga kampuni kiasi hicho kwa mfanyabiashara "shupavu" (supposedly) kama Mosha eti ashindwe kuiendesha?Ni uongo!...Nilichosikia,Lemutuz alipewa share 0.0001% which is so small hata kwenye board meetings hawezi kuwepo.
Tukubaliane,Mosha hili limemshinda maana ni technical enterprise,yeye amezoea biashara zisizotumia akili kama malori ambayo infact ndio yupo huko!
Mosha has been exposed kua ni very mediocre businessman for real!
Yaani Swahili Media of which u can run by phone from home,imemshinda?
Halafu eti lawama anatupiwa kilaza kama Lemutuz eti amesababisha biashara ikafa,is Lemutuz this powerful?No wayyyyy!