Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Mkuu Wyatt Mathewson, kama hii ingekuwa ni kesi basi without any doubt, ungeshindwa. As from now on, bora u plead the Fifth kuliko kujikanyaga halafu kukwepa maswali kwa stye yako. ROTFLOL!
 
Aliyekudanganya Rostam kasoma huko Cambridge ni nani? Na umesema mfanyabiashara wa kweli hawezi kuwa mwanasiasa, mbona Rostam amekuwa mwanasiasa tangia akiwa kijana wa miaka 20 na akiwa na miaka 26 akawa Mbunge Igunga mpaka alivyojiudhuru..

Mkuu

Hunielewi....

Anatafuta biashara kupitia siasa sio mfanyabiashara wa kweli..Hii ni proven mkuu!..Soma vitabu

Hakuna mfanyabiashara wa kweli anaepoteza muda kwenda kua mwanasiasa tena!Huyo ni confused fella.

Sijachanganya au kusahau chochote nilichoongea...Bado Mo Dewji kwangu sio mfanyabiashara wa kweli,yeye ni mwanasiasa ambae yupo confused kati ya siasa na biashara,hana mbinu za kibiashara kufanya biashara bila msaada wa siasa!

Any serious worldwide business iliyoleta impact kwenye human kind ilijichanganya na siasa par se!Whether ni Apple,MS,Alibaba,etc.

Bado nasimama palepale....Manji,Mo Dewji,Mosha,Lemutuz,Diallo,GSM,etc are NOT true business people.These are confused,scared people!

Rostam alianza na siasa,akavuna vya kutosha,now he is paying the price of mixing business with politics!His sales are down,no expansion,he is runnin out of the country,etc.Aliuza share zake zooote Vodacom,etc.Kwa kifupi yupo mafichoni!Anaishi kama digidigi!

Mo Dewji,Mosha,Musukuma ni confused people wanaochanganya biashara na siasa.Ni kama Diallo, GSM and Manji now are paying the heavy price of mixing business with politics.
 
Bakhressa,watu wanaongea tu,no one knows alisoma hadi wapi,watu wanabuni tu....

Plus,Bakheresa ni muanzilishi wa kampuni,wanae wenye 45years + old ndio wanaendesha makampuni,na wamesoma IST,then US educated,all of them!Nani alieshika usukani kimbinu na uendeshaji is open,anybody can say anything!

Likewise Mo Dewji,he is an IST,then Georgetown educated,ndio kafanya expansion ya Mohamed Enterprises, yake alikua muanzilishi....Nani alieshika usukani kimbinu na uendeshaji is open,anybody can say anything!

Mkuu,watu ambao hawajaenda shule,kuna kitu kimoja tu hua hawakiwezi,expansion!Tena beyond borders,nobody dares to go next!
Wanae walishakuta Said kafanya kila kitu na la 7 lake..Wao walikuja kuendeleza tu alipofikia mzee wao..

Huko nyuma ulisema biashara za darasa la 7 ni malori na guest house na mabus.. Mbona bakhressa ameendesha viwanda kwa darasa la saba lake, akasomesha watoto IST in which most of u mnaojiita wasomi hamuwezi peleka watoto pale na bado watoto wakaja kukuta mali ipo wao wakafikia kuiendeleza tu..

Naona sasa umehamia kwamba wanaweza ila wanashindwa kwenye expansion..
 
Rostam hajasoma huko unakosema boss, acha uongo...

Rostam is a UK educated person,uliza..

Profile yake kwenye website ya Bunge la Tanzania,ilikua inasema kasoma either Cambridge au Oxford if I remember correctly.Ngoja niangalie tena kama ile profile ipo!

Wewe unakataa wakati details rasmi za Rostam kwa Bunge la nchi ndio zinasema hivyo,wewe ni nani tukuamini?

Bakhresa nae kasoma wapi?

Mkuu

Bakressa senior hakuna records zake kua kasomea wapi.Ila ana watoto wakubwa wa 45years and above,wote ni Ivy League educated persons ndio wanaendesha the Group,ndio maana wamemsaidia expansion yote hii.Soma website yao uone wanae walivyo nondo na wanasimamia nini!

Mzee angekua mwenyewe asingekua na uwezo wa kutoka nje ya DSM na Zanzibar!

Mafuruki is just overratted, tajiri gani anaenda kusaidia bati na kujenga nyumba za walimu nusu nusu kwenye shule aliyosoma kwao Bukoba..

Kuhusu Mufuruki mkuu watu watakucheka!

Hujui lolote au umeamua kwa makusudi kumfanyia ukauzu.Hakuna kampuni Mufuruki ana own imefeli...Hata huenda internet unayotumia hapo ni ya Simbanet,au Vodacom,ambapo he owns them!Huenda una king'amuzi cha Zuku kwako,au unasoma magazeti ya Mwananchi,etc...He owns you my nigga!
 
Mkuu

Hunielewi....

Anatafuta biashara kupitia siasa sio mfanyabiashara wa kweli..Hii ni proven mkuu!..Soma vitabu

Hakuna mfanyabiashara wa kweli anaepoteza muda kwenda kua mwanasiasa tena!Huyo ni confused fella.

Sijachanganya au kusahau chochote nilichoongea...Bado Mo Dewji kwangu sio mfanyabiashara wa kweli,yeye ni mwanasiasa ambae yupo confused kati ya siasa na biashara,hana mbinu za kibiashara kufanya biashara bila msaada wa siasa!

Any serious worldwide business iliyoleta impact kwenye human kind ilijichanganya na siasa par se!Whether ni Apple,MS,Alibaba,etc.

Bado nasimama palepale....Manji,Mo Dewji,Mosha,Lemutuz,Diallo,GSM,etc are true business people.These are confused,scared people!

Rostam alianza na siasa,akavuna vya kutosha,now he is paying the price of mixing business with politics!His sales are down,no expansion,he is runnin out of the country,etc.Aliuza share zake zooote Vodacom,etc.Kwa kifupi yupo mafichoni!Anaishi kama digidigi!

Mo Dewji,Mosha,Musukuma ni confused people wanaochanganya biashara na siasa.Ni kama Diallo, GSM and Manji now are paying the heavy price of mixing business with politics.
Mkuu unaishi nchi gani??

Narudia huwezi kuwa mfanyabiashara mkubwa Africa bila kuside na siasa, Dangote mwenyewe biashara zake zina uhusiano na siasa kupitia Obasanjo.. It is either u go clean kwenye siasa au you are hiding behind the bushes lakini ni lazima uwatumikie watawala.. Miliki hata kiduka cha hardware kinachooza sana wilayani huko uone kama hata katibu wa CCM hatakufata uchangie chama..

Biashara za Africa ziko rough sana, ni lazima uwe close na wanasiasa uweze kufanya biashara kubwa kubwa unless huwezi kufika kokote. Kama kungekuwa na fairly competition hao wote unaowasema wasingehangaika kujiingiza kwenye mastress ya siasa. Nimekulia kwenye familia ya wafanyabiashara and I know what my paps got when he messed out with politicians wakati wa Mkapa..

Huwezi kamwe kurun multinational joint hapa Africa bila jicho la kujipendekeza kwa wanasiasa, kamwe huwezi.
 
Wanae walishakuta Said kafanya kila kitu na la 7 lake..Wao walikuja kuendeleza tu alipofikia mzee wao..

Huko nyuma ulisema biashara za darasa la 7 ni malori na guest house na mabus.. Mbona bakhressa ameendesha viwanda kwa darasa la saba lake, akasomesha watoto IST in which most of u mnaojiita wasomi hamuwezi peleka watoto pale na bado watoto wakaja kukuta mali ipo wao wakafikia kuiendeleza tu..

Naona sasa umehamia kwamba wanaweza ila wanashindwa kwenye expansion..

Mzee Steph Curry:

Kwanza kuweni makini,LBJ anaweza zaa na nyinyi msipoangalia!

Nyie,Warriors ndio overwhelmingly favorite,ila mkibugi tu,mzee Lebron anawachapa nao!

Kuhusu Bakheresa,kaanzisha yeye,no doubt about that,ila hakuna kitu kigumu dunia hii kama ku-reinvent a company and expand,thats scary!Watoto wake did that!

Sio kila sifa apewe mzee...sijui kwanini founder hua ndio mnamuweka kwenye high pedestals that much!

Kupeleka watoto IST hiyo ni issue ingine mkuu,wala sidhani kama ni hoja hapa!

Pia katika kila rule kuna exceptions of course,Bakresa senior tunaweza sema ni outlier!Haya nani kasoma level ya Bakresa senior na ana viwanda kama yeye?Nobody!Ndio maana nakwambia kuna exceptions,yeye ni outlier!

Halafu una proof gani Bakresa senior hajasoma kabisa?Umepatia wapi hiyo evidence?
 
Huyo jamaa binafsi nimeshindwa kumwelewa...

Ndio maana nikamuuliza biashara za wasomi hapa kwetu ni zipi? Na wasomi hao wamefanya nini kikubwa kwenye kuchangia pato la taifa kwa biashara zao ziadi ya hao anaowakandia..
biashara za wasomi...stock market, banking, viwanda..engineering,auditing,consultancies.....biashara za wasiosoma low IQ..hoteli,malori,mabasi,Bar.,Shelli, kupangisha nyumba,apartment,migahawa, bodaboda
 
Mkuu unaishi nchi gani??

Narudia huwezi kuwa mfanyabiashara mkubwa Africa bila kuside na siasa, Dangote mwenyewe biashara zake zina uhusiano na siasa kupitia Obasanjo.. It is either u go clean kwenye siasa au you are hiding behind the bushes lakini ni lazima uwatumikie watawala.. Miliki hata kiduka cha hardware kinachooza sana wilayani huko uone kama hata katibu wa CCM hatakufata uchangie chama..

Biashara za Africa ziko rough sana, ni lazima uwe close na wanasiasa uweze kufanya biashara kubwa kubwa unless huwezi kufika kokote. Kama kungekuwa na fairly competition hao wote unaowasema wasingehangaika kujiingiza kwenye mastress ya siasa. Nimekulia kwenye familia ya wafanyabiashara and I know what my paps got when he messed out with politicians wakati wa Mkapa..

Huwezi kamwe kurun multinational joint hapa Africa bila jicho la kujipendekeza kwa wanasiasa, kamwe huwezi.

Tuko na theory mbili tofauti kabisa za biashara!

Yako ni sahihi kwako na yangu ni sahihi kwangu!

Nafata wataalamu wanachosema and not otherwise!

Mimi sio mshabiki wa crony capitalism!

Napenda nifanye kwa sayansi ya kichwa changu na rules,nitakachopata chochote naridhika nacho!

Sio unafanya biashara baada ya miaka mitano ukija uongozi mpya usioutegemea unakufa kwa pressure za kipumbavu nani anataka huo ujinga!

Exist alone,use your brains not politics!Politics are for the short time achievements and not generational!

Use your brain!
 
Rostam is a UK educated person,uliza..

Profile yake kwenye website ya Bunge la Tanzania,ilikua inasema kasoma either Cambridge au Oxford if I remember correctly.Ngoja niangalie tena kama ile profile ipo!

Wewe unakataa wakati details rasmi za Rostam kwa Bunge la nchi ndio zinasema hivyo,wewe ni nani tukuamini?

Mkuu

Bakressa senior hakuna records zake kua kasomea wapi.Ila ana watoto wakubwa wa 45years and above,wote ni Ivy League educated persons ndio wanaendesha the Group,ndio maana wamemsaidia expansion yote hii.Soma website yao uone wanae walivyo nondo na wanasimamia nini!

Mzee angekua mwenyewe asingekua na uwezo wa kutoka nje ya DSM na Zanzibar!

Kuhusu Mufuruki mkuu watu watakucheka!

Hujui lolote au umeamua kwa makusudi kumfanyia ukauzu.Hakuna kampuni Mufuruki ana own imefeli...Hata huenda internet unayotumia hapo ni ya Simbanet,au Vodacom,ambapo he owns them!Huenda una king'amuzi cha Zuku kwako,au unasoma magazeti ya Mwananchi,etc...He owns you my nigga!
Leta hapa sehemu inayosema Rostam kasoma Oxford hahahahahaha.. Boss unanichekesha sana ujue, eti Oxford...

Watoto wa Bakhressa wamesoma Ivy League Uni's na hapa walisoma IST, alafu unasema Mzee alikuwa ana vibiashara Dar na Zenji tu... hehehehehe aibu sana hii unaongea mkuu.. Watoto walikuja kupush further tu ila foundation yote alishaiweka mzee, hata asingekuwa na hao watoto Bakhressa asingebaki yule wa early 2000's kabla ya kuanza kuwakabidhi watoto majukumu. Huna assurance ya kwamba bakhressa asingekuwa hapa alipo au mbele zaidi ya hapa kama angeendelea kuendesha mwenyewe biashara zake. He did a wise choice kuachia watoto waendeleze alipofikia na sio kwamba alishindwa..

About Mafuruki, ukarabati wa shule ya msingi aliyosoma hauzidi hata million 300 unamshinda, anakarabati nusu nusu,yani mwaka huu anakarabati nyumba moja ya walimu, mwaka ujao nyumba nyingine na madarasa mawili yaani full kuunga unga alafu unamuita msomi tajiri teh teh teh teh.. Namfahamu Mafuruki na Infotech yake vizuri..
 
- Mosha ni super business man mwenye IQ kubwa sana ya biashara na ni yeye aliyeamua kwamba ili kupata faida kubwa kwenye TV na Radio ni bora akodishe na imefanikiwa, sijui huyo jamaa ana nini maana naona kelele nyingi sana hahahahaha

le Mutuz Superbrand
kwa hiyo kukodisha kuna faida kubwa kupita kuendesha mwenyewe?... hii kali sana
 
Tuko na theory mbili tofauti kabisa za biashara!

Yako ni sahihi kwako na yangu ni sahihi kwangu!

Nafata wataalamu wanachosema and not otherwise!

Mimi sio mshabiki wa crony capitalism!

Napenda nifanye kwa sayansi ya kichwa changu na rules,nitakachopata chochote naridhika nacho!

Sio unafanya biashara baada ya miaka mitano ukija uongozi mpya usioutegemea unakufa kwa pressure za kipumbavu nani anataka huo ujinga!

Exist alone,use your brains not politics!Politics are for the short time achievements and not generational!

Use your brain!
Unayasema hayo sababu hujawahi kabisa kufanya biashara, in which im 100% sure.. Yaani na kusoma kote Entrepreneurship 101 in which ulisoma mwaka wa kwanza lakini hujawahi kufanya biashara.. Hapa sizungumzii biashara yenye mtaji wa chini ya 100m..

Hakuna fair competition kwenye biashara nchini, lazima tu utajiingiza kwenye siasa. Ukijifanya kichwa ngumu bidhaa zako hazitauzika maana production cost ya one unit hutaweza kuilinganisha na ya competitor wako..

Usifikiri akina Mengi waliokuwa wanamsupport EL kwenye kampeni ghafla wakageukia CCM baada ya kushindwa ni wajinga..
 
Ngoja nikupe tofauti iliyopo kati yako na Mosha ni hii hapa.

Mosha leo akiamuwa weekend hii yeye na familia yake wakapumzike Dubai anaweza kufanya hivyo na anunuwe property London UK kwa ajili ya mapumziko anaweza kufanya hivyo, hafikirii atakula nini au atavaa nini wala kodi ya nyumba yeye anaangalia kodi za serikali tu.

Akitaka kusomesha watoto wake popote pale hapa duniani ana uwezo wa kufanya hivyo.

Ni kichaa peke yake anayeweza kumbeza mtu wa viwango hivyo na kujiaminisha ni mwenzanko, huu nao ni upunguwani pia.

Akili zako na za mzee Akilimali hakuna tofauti.
Nimegundua huyo ndugu ana chuki ya dhahiri na ndugu Davis Mosha.....

Na yeye amesema ni haki yake kufanya hivyo
 
Unayasema hayo sababu hujawahi kabisa kufanya biashara, in which im 100% sure.. Yaani na kusoma kote Entrepreneurship 101 in which ulisoma mwaka wa kwanza lakini hujawahi kufanya biashara.. Hapa sizungumzii biashara yenye mtaji wa chini ya 100m..

Sijawahi kufanya,its true...

Ila hainizuii kuwazungumzia akina Messi,Ronaldo au Lebron,KD au Steph Curry eti sababu sijui kucheza kikapu kama wao!

Im a fan....nina haki ya kuwazungumzia na kuwakosoa ninavyojisikia...Business is a game and just a fan,wao ni players,as a fan nina haki zote!

So,this case is closed!
 
Hakuna fair competition kwenye biashara nchini, lazima tu utajiingiza kwenye siasa. Ukijifanya kichwa ngumu bidhaa zako hazitauzika maana production cost ya one unit hutaweza kuilinganisha na ya competitor wako..

Usifikiri akina Mengi waliokuwa wanamsupport EL kwenye kampeni ghafla wakageukia CCM baada ya kushindwa ni wajinga..

Hii inaweza kua kweli au si kweli...

Lets say ni kweli...so what?

Hakuna fairness,yes...so?....Uende kua kibaraka wa serikali ya CCM ili uwe na fairness?

Aisee niko tofauti na wewe kuhusu hili!

Na it is very good tunavyopingana hivi!
 
Mimi sio snitch mkuu,siwezi taja watu hapa...ni stupidity ya hali ya juu!

Try again!
Kama kutaja watu ni usnitch basi wewe ni number one motherfucker.

Kwahiyo hao uliowataja humu Mzee Mengi, Rostam Aziz na Mufuruki siyo watu?

Unajambajamba tu huna hoja unaleta viroja tu.
 
Bakressa senior hakuna records zake kua kasomea wapi.Ila ana watoto wakubwa wa 45years and above,wote ni Ivy League educated persons ndio wanaendesha the Group,ndio maana wamemsaidia expansion yote hii.Soma website yao uone wanae walivyo nondo na wanasimamia nini!
Mzee wa kamba ndefu, hizo info za college educations za wanae Bakhressa zipo wapi? Maana nimecheki website ya Bakhressa Group na ni mwanae mmoja tu kasoma B.Sc Georgetown (Tuition, Room and Board fully paid by daddy, I presume), sijaona Ivy League college nyingine. Mwingine nimeona kasoma Southbank University, London, ambayo ni crappy institution, to say the least.
 
kwa hiyo kukodisha kuna faida kubwa kupita kuendesha mwenyewe?... hii kali sana

- Yes, hivi unajua Hotel zote kubwa hapa mjini zinakodishwa majengo wanayotumia wenye majengo wameshindwa nini kumiliki hotel wenyewe? Relax jamani nimefurahi sana kwamba in the end wasomi wengi hapa wamegundua kwamba kuna chuki na wivu wa kike kwa Mosha.

Ahsanteni na Kwaherini tukutane thread nyingine!

le Mutuz Superbrand
 
Back
Top Bottom