Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Salama kiongozi- Yes, hivi unajua Hotel zote kubwa hapa mjini zinakodishwa majengo wanayotumia wenye majengo wameshindwa nini kumiliki hotel wenyewe? Relax jamani nimefurahi sana kwamba in the end wasomi wengi hapa wamegundua kwamba kuna chuki na wivu wa kike kwa Mosha.
Ahsanteni na Kwaherini tukutane thread nyingine!
le Mutuz Superbrand