Davis Mosha at Moshi

Davis Mosha at Moshi

FisadiKuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
8,169
Reaction score
13,455
Jamaa naona kaenda kuwaambia wapiga kura waliomnyima Ubunge kwamba hakuwa na shida ya pesa ila uwakilishi... Ila wachagga wabishi sana, huyu jamaa angekuwa anagombea Mtimbwilimbwi angepita kwa kishindo..
 

Attachments

  • 1450953688474.jpg
    1450953688474.jpg
    28.7 KB · Views: 3,730
  • 1450953713373.jpg
    1450953713373.jpg
    49.1 KB · Views: 3,427
Watu hawamchukii bali wanakichukia chama alichogombea na jimbo alilolitaka sio rahisi. Angeenda Moshi vijijini kingeweza kueleweka.
 
Ipo sawa mpaka ndani mimi nilibisha hivyohivyo maana niliamini hawezi ingiza gari ya 2014
 

Attachments

  • 1450965922385.jpg
    1450965922385.jpg
    55.8 KB · Views: 2,123
Nilikua naye jana sehemu flani ivi dah jamaa kanieleza ana plan mambo mazuri sana kwa mji wa moshi..
 
2015_rolls-royce_ghost_series_ii_109_1920x1080.jpg


haya tuwekeeni na hiyo ya Meku front cabin
 
nimeiona leo, ina plate namba ya hapa kazi tu? ila watu wa moshi bana. No body gave a damn

Wachagga wabishi mkuu... Watu hawababaishwi na vipesa vyake.. Kuna wazee wako kule migombani wana pesa za laana na hawana mbwembwe
 
Wachagga wabishi mkuu... Watu hawababaishwi na vipesa vyake.. Kuna wazee wako kule migombani wana pesa za laana na hawana mbwembwe

Kwelii mkuuu nakuungaa mkonoo.!! Njoo maeneo ya marangu karibu na forest tanapa hukuu..!! Kunawatuu hawana utani..
 
Back
Top Bottom