Davis Mosha at Moshi

Davis Mosha at Moshi

Unachekesha kweli unasema wachaga hawababaishwi na vihela? Wakati mtoto akiwa na hela baba anampa shkamoo mtoto wake.

Kwa maneno na mtizamo wako ni sawa.. Ila Mosha angegombea huko kwenu hata kupitia APT Maendeleo angeshinda
 
Pesa sio kujua kuongoza

Wananchi waliamua naye anaishi maisha yake.

Mumuache kwani lazima kuwa Mbunge?
 
Ipo sawa mpaka ndani mimi nilibisha hivyohivyo maana niliamini hawezi ingiza gari ya 2014

Wewe hapana haziko sawa hizo hata kidogo angalia tu kwa nje utajua hakuna haja ya kuangalia ndani
 
Nilikua naye jana sehemu flani ivi dah jamaa kanieleza ana plan mambo mazuri sana kwa mji wa moshi..

Wewe ni Le mutuz? Maana huyo ndio huwa yuko naye. Kama wewe siye basi angalia sana jamaa asije chukia kuingia anga zake
 
Wewe ni Le mutuz? Maana huyo ndio huwa yuko naye. Kama wewe siye basi angalia sana jamaa asije chukia kuingia anga zake

teh teh teh teh naona jamaa anataka chukua mikoba ya Le Mutuz...
 
Watu hawamchukii bali wanakichukia chama alichogombea na jimbo alilolitaka sio rahisi. Angeenda Moshi vijijini kingeweza kueleweka.
Rawasha sehemu ambayo angeambulia tupu ni huko moshi vijijini wale wachagga wa kule siyo kabisa
 
Last edited by a moderator:
Sio wachaga waliomkata mkuu. Ni ccm. Ccm hao hao ndo wamemnyima ushindi. Hehehe...asikudanganye mtu wachagga ukiwapa pesa ya kulewa tu huko moshi anakufanyia lolote unalotaka
 
Back
Top Bottom