KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 739
Nadanganya mkuu???Aaaaah moshi vijijini???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadanganya mkuu???Aaaaah moshi vijijini???
Sio wachaga waliomkata mkuu. Ni ccm. Ccm hao hao ndo wamemnyima ushindi. Hehehe...asikudanganye mtu wachagga ukiwapa pesa ya kulewa tu huko moshi anakufanyia lolote unalotaka
CCM haijawahi tawala Moshi Mjini utasemaje CCM ndio wamemnyima?? Kwani huko CCM Moshi si wamejaa wachagga tupu, kwanini asingeanza kuwapa hao hizo pombe unazosema ili wamkubali??
Ipo sawa mpaka ndani mimi nilibisha hivyohivyo maana niliamini hawezi ingiza gari ya 2014
hoja ni ipi hapa, ni gari au david mosha au ubunge??
Alafu aliyeshinda siyo mchaga hata ni mpareCCM haijawahi tawala Moshi Mjini utasemaje CCM ndio wamemnyima?? Kwani huko CCM Moshi si wamejaa wachagga tupu, kwanini asingeanza kuwapa hao hizo pombe unazosema ili wamkubali??
Sio wachaga waliomkata mkuu. Ni ccm. Ccm hao hao ndo wamemnyima ushindi. Hehehe...asikudanganye mtu wachagga ukiwapa pesa ya kulewa tu huko moshi anakufanyia lolote unalotaka
Vijana wenzangu mnajisahau sana. Serikali ni ya nani? Uchaguzi uko chini ya nani? Nao wanakwa controled na nani? Upinzani watasubiri sama. Nawajua sana wachagga nimezaliwa huko na kukua huko na nimeondoka ukubwani huniambiii lolote. Ukweli ni kama ccm hawakukubali utatoa pesa mpaka kila mwanakijiji ila hapana ni hapana. Kama wamekukubali unapeta tu. Mnataka kuniambia hamjui hilo? Babu manywele alikatwaje hata kumi bora hakuinusa na alikuwa na support yote ya wajumbe.. Sauli je kapitaje rungwe na wananchi hawamtaki wamegoma wamefanya fujo ila wapi...na kura hanaaa. Fikinyeni akili sana vijana. Davis walimpitisha vizuri wachagga na yeye anajua. Kisa chama. Kijana ana dharau sananenda ukawajaribu, wewe wa wapi kwanza? ccm walimkataa? ccm walikua ni asilimia ngapi ya wapiga kura wote?
We unaijua moshi au...hicho kishindo ni cha tembo au....
Kaa ukijua tangu siasa za vyama vingi vianzishwe Tanzania Moshi Mjini haijawahi kuongozwa na CCM.....
Sasa kama tangu miaka ya 2000 ni chadema tu sembuse 2015 ambapo upinzani umetapakaa??
We ni wa wapi???
Wachagga wabishi mkuu... Watu hawababaishwi na vipesa vyake.. Kuna wazee wako kule migombani wana pesa za laana na hawana mbwembwe
Unachekesha kweli unasema wachaga hawababaishwi na vihela? Wakati mtoto akiwa na hela baba anampa shkamoo mtoto wake.