Davis Mosha at Moshi

Davis Mosha at Moshi

Sio wachaga waliomkata mkuu. Ni ccm. Ccm hao hao ndo wamemnyima ushindi. Hehehe...asikudanganye mtu wachagga ukiwapa pesa ya kulewa tu huko moshi anakufanyia lolote unalotaka

CCM haijawahi tawala Moshi Mjini utasemaje CCM ndio wamemnyima?? Kwani huko CCM Moshi si wamejaa wachagga tupu, kwanini asingeanza kuwapa hao hizo pombe unazosema ili wamkubali??
 
CCM haijawahi tawala Moshi Mjini utasemaje CCM ndio wamemnyima?? Kwani huko CCM Moshi si wamejaa wachagga tupu, kwanini asingeanza kuwapa hao hizo pombe unazosema ili wamkubali??

Kwani serikali ya moshi ni nani halmashauri je? Jifikirie sana. Davis alishinda sana. Kwa kishindo. Ndio mana akawaita ccm wanafki maana wao ndio walimkosesha mkuu
 
Kwani serikali ya moshi ni nani halmashauri je? Jifikirie sana. Davis alishinda sana. Kwa kishindo. Ndio mana akawaita ccm wanafki maana wao ndio walimkosesha mkuu

Acha bange..
 
CCM haijawahi tawala Moshi Mjini utasemaje CCM ndio wamemnyima?? Kwani huko CCM Moshi si wamejaa wachagga tupu, kwanini asingeanza kuwapa hao hizo pombe unazosema ili wamkubali??
Alafu aliyeshinda siyo mchaga hata ni mpare
 
Sio wachaga waliomkata mkuu. Ni ccm. Ccm hao hao ndo wamemnyima ushindi. Hehehe...asikudanganye mtu wachagga ukiwapa pesa ya kulewa tu huko moshi anakufanyia lolote unalotaka

nenda ukawajaribu, wewe wa wapi kwanza? ccm walimkataa? ccm walikua ni asilimia ngapi ya wapiga kura wote?
 
nenda ukawajaribu, wewe wa wapi kwanza? ccm walimkataa? ccm walikua ni asilimia ngapi ya wapiga kura wote?
Vijana wenzangu mnajisahau sana. Serikali ni ya nani? Uchaguzi uko chini ya nani? Nao wanakwa controled na nani? Upinzani watasubiri sama. Nawajua sana wachagga nimezaliwa huko na kukua huko na nimeondoka ukubwani huniambiii lolote. Ukweli ni kama ccm hawakukubali utatoa pesa mpaka kila mwanakijiji ila hapana ni hapana. Kama wamekukubali unapeta tu. Mnataka kuniambia hamjui hilo? Babu manywele alikatwaje hata kumi bora hakuinusa na alikuwa na support yote ya wajumbe.. Sauli je kapitaje rungwe na wananchi hawamtaki wamegoma wamefanya fujo ila wapi...na kura hanaaa. Fikinyeni akili sana vijana. Davis walimpitisha vizuri wachagga na yeye anajua. Kisa chama. Kijana ana dharau sana
 
Huyu si ndiye Mange alimtaja anauza sembe pori
 
We unaijua moshi au...hicho kishindo ni cha tembo au....

Kaa ukijua tangu siasa za vyama vingi vianzishwe Tanzania Moshi Mjini haijawahi kuongozwa na CCM.....

Sasa kama tangu miaka ya 2000 ni chadema tu sembuse 2015 ambapo upinzani umetapakaa??
We ni wa wapi???

Mkuuu serikali ni ya nani
 
Wachagga wabishi mkuu... Watu hawababaishwi na vipesa vyake.. Kuna wazee wako kule migombani wana pesa za laana na hawana mbwembwe

Sio wabishi...ukweli ni kwamba wengi hawajitambui wameshikwa akili (nyumbu style).
 
Sio wabishi...ukweli ni kwamba wengi hawajitambui wameshikwa akili (nyumbu style).

Wangekuwa wameshikiwa akili basi wasingekuwa na maendeleo na badala yake maendeleo yangekuwa kwa wagogo, wakwere na wamakonde
 
Wangekuwa wameshikiwa akili basi wasingekuwa na maendeleo na badala yake maendeleo yangekuwa kwa wagogo, wakwere na wamakonde
Sawa bwana kama hayo mazindiko ndo unayaita maendeleo...

uploadfromtaptalk1451118210194.jpeg
 
Unachekesha kweli unasema wachaga hawababaishwi na vihela? Wakati mtoto akiwa na hela baba anampa shkamoo mtoto wake.

Ushasema mtoto wake .....kiukweli Kama kwenye familia Huna pesa your age is just a number ...that's chagga ...na hiyo ndio. ..inawapa hasira ya kujitahidi iwe kusoma au kufanya kazi ili nao wapate heshima .........kwa sababu heshima Yako Aidha uwe Msomi au uwe na pesa
 
Na hii n yake pia
 
Attachments

  • 1451120891480.jpg
    1451120891480.jpg
    35.4 KB · Views: 261
Back
Top Bottom