Wachagga wabishi mkuu... Watu hawababaishwi na vipesa vyake.. Kuna wazee wako kule migombani wana pesa za laana na hawana mbwembwe
Unachekesha kweli unasema wachaga hawababaishwi na vihela? Wakati mtoto akiwa na hela baba anampa shkamoo mtoto wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachagga wabishi mkuu... Watu hawababaishwi na vipesa vyake.. Kuna wazee wako kule migombani wana pesa za laana na hawana mbwembwe
Ipo sawa mpaka ndani mimi nilibisha hivyohivyo maana niliamini hawezi ingiza gari ya 2014
Hakuna aliyemkamata
Nilikua naye jana sehemu flani ivi dah jamaa kanieleza ana plan mambo mazuri sana kwa mji wa moshi..
Pesa sio kujua kuongoza
Wananchi waliamua naye anaishi maisha yake.
Mumuache kwani lazima kuwa Mbunge?
wananchi wapi kama sio ndesa na upepo wa LOWASA huyu angepata huo ubunge
Wewe ni Le mutuz? Maana huyo ndio huwa yuko naye. Kama wewe siye basi angalia sana jamaa asije chukia kuingia anga zake
Rawasha sehemu ambayo angeambulia tupu ni huko moshi vijijini wale wachagga wa kule siyo kabisaWatu hawamchukii bali wanakichukia chama alichogombea na jimbo alilolitaka sio rahisi. Angeenda Moshi vijijini kingeweza kueleweka.
Hahahahaaa watu wabaya sanaWewe ni Le mutuz? Maana huyo ndio huwa yuko naye. Kama wewe siye basi angalia sana jamaa asije chukia kuingia anga zake
Rawasha sehemu ambayo angeambulia tupu ni huko moshi vijijini wale wachagga wa kule siyo kabisa