Ndio Mkuu kitu cha Rolls Royce
Itakua ya 2000 kushuka chini
ni ya 2004 mkuuu
ni ya 2004 mkuuu
Hapana ni ya 2014 ni rolls royce Phantom
hii si ndo ya 2014 mkuu au
Hapana ni ya 2014 ni rolls royce Phantom
Wachagga wabishi mkuu... Watu hawababaishwi na vipesa vyake.. Kuna wazee wako kule migombani wana pesa za laana na hawana mbwembwe