Uchaguzi 2020 Davis Mosha: Mpeni Magufuli, hao wengine watauza nchi

Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani , CCM wanachukua pesa za viwanda za walipa kodi za maendeleo wanampa polepole kuzitumia kudidimiza demokrasia kudhoofisha kuihujumu chadema ni matumizi mabaya ya pesa za umma, tayari polepole ametajirika kwa huu mradi haramu wa kuua upinzani kwa njia haramu za kishetani, pesa inayotumika kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa ni kubwa kuliko inayotumika kuleta vimaendeleo vidogo vyenye utitiri wa ufisadi 10% za wajanja wachache wa CCM,

Mda huu kama siyo CCM pengine Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa yote mikubwa Duniani na kungekuwa na daraja mpaka Zanzibar na pemba, ukerewe mwanza na hata kigoma na congo kwenye ziwa Tanganyika, huku kukiwa na vyuo vikuu kila wilaya na Hosptal za rufaa kila mkoa na barabara nzuri kilw kijiji, CCM wameifirisi Nchi pesa zote kwa sasa zinaenda kwa Mkoloni kaburu mweusi ndiyo maana wapinzani wanadai uhuru upya baada ya ule wa mwaka 1961.
 
Nchi inataka uhuru upya baada ya kuuzwa mwaka 1998 na utawala wa CCM
 
Hahaaa ccm iko icu,yeye mwenyewe alishindwa kujiombea kura 2015.leo anakuja na uzwazwa wake
 

Nchi mbona imeshauzwa? Mpaka unga wa ngano tunaagiza!
 
Bora wauze nchi kwa MABEBERU(Wahisani) kuliko Kuuza Unga kuharibu waTZ kama ulivyokuwa unafanya awamu ya JEIKEI.
 
David Mosha a.k.a. Yahaya
Kumbe bado upo mkuu?
Unakumbuka waliyokutenda watu wa Moshi? 🤣 🤣
 
Tunaomba kwenye CV ya Davis Mosha aiweke hapa. Isije ikawa Wananchi wa Moshi ambao ni wasomi wanapoteza muda kumsikili kilaza kwenye majukwaa ya CCM.
 
Mhalifu aliyebanwa katika biashara zake nchini anapojaribu kijikomba
Njaa ni kitu kibaya zaidi Tanzania hasa kwa mtu kama huyo kaona hakuna jinsi ataweza kumfikia mtukufu aongee nao akaona atumie jukwaa la siasa kujipendekeza
 
Tunaomba kwenye CV ya Davis Mosha aiweke hapa. Isije ikawa Wananchi wa Moshi ambao ni wasomi wanapoteza muda kumsikili kilaza kwenye majukwaa ya CCM.
Le mutuz ndiye mshauri wake mkuu anzia hapo sasa, endapo mtu mzima anakaa na kumsikiliza Le mutuz kweli hata angekuwa na degree 30 anaonekana ni darasa la tatu tu, kukaa na Le mutuz tayari ni dalili za kuwa na Upeo weledi Mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…