minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani , CCM wanachukua pesa za viwanda za walipa kodi za maendeleo wanampa polepole kuzitumia kudidimiza demokrasia kudhoofisha kuihujumu chadema ni matumizi mabaya ya pesa za umma, tayari polepole ametajirika kwa huu mradi haramu wa kuua upinzani kwa njia haramu za kishetani, pesa inayotumika kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa ni kubwa kuliko inayotumika kuleta vimaendeleo vidogo vyenye utitiri wa ufisadi 10% za wajanja wachache wa CCM,
Mda huu kama siyo CCM pengine Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa yote mikubwa Duniani na kungekuwa na daraja mpaka Zanzibar na pemba, ukerewe mwanza na hata kigoma na congo kwenye ziwa Tanganyika, huku kukiwa na vyuo vikuu kila wilaya na Hosptal za rufaa kila mkoa na barabara nzuri kilw kijiji, CCM wameifirisi Nchi pesa zote kwa sasa zinaenda kwa Mkoloni kaburu mweusi ndiyo maana wapinzani wanadai uhuru upya baada ya ule wa mwaka 1961.