Uchaguzi 2020 Davis Mosha: Mpeni Magufuli, hao wengine watauza nchi

Kanuni ya FAO la kukosa ajira unamnyima Mfanyakazi akiba yake.

Pesa za wafanyakazi zinapotea kabisa, Mfanyakazi anakosa haki yake.
 
Ninachofurahi zaidi wapinzani wamewekeza kuchat kwenye mitandao wakati ccm wapo busy kutafuta kura majumbani [emoji23][emoji23]

Tuendelee kura mtori nyama tutazikuta chini.

Kura kwa MAGUFULI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
 
FAO la kujitoa Ni HAKI ya Mfanyakazi au Ni Hisani?

CCM rudisha Fao la kujitoa
Halafu unawajengea majumba ya mabilioni marais wastaafu kwa kodi za wafanyanyakazi unaowanyima mafao yao na kuwaambia watafute ajira kwa miezi 18. Hiyo miezi 18 unatarajia waishije?
 
Tatizo la CCM wanadhani kila mtu wao anasikilizwa na raia. Wananchi kama wananchi wana jambo lao tarehe 28.10.2020 ili kuwahakikishia kuwa wao ndio wenyenchi sasa subirini muone game mbona mtafurahi tu 😂😂😂😂
 
Davis 2015 anamkumbuka vizuri boisafi na ibra line. Na Sasa hivi ataendelea kuwaelewa.

Moshi sio parahisi hivyoo.
 
Devis kaenda huko kujipendekeza kwa mtukufu magufuli apate uteuzi endapo itatokea NECCCM Tumeccm na Polisiccm wakamrejesha ikulu kwa nguvu pasipo ridhaa ya wapiga kura

Davis ni wa uteuzi?

Kaa kimya ndugu, sio kila kitu ujibu humu
 
Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu

Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.

Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.

Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.

ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390

View attachment 1605391
View attachment 1605436
Lissu yupo na Ponda na Maalim Seif we upo na Kipoozeo… inabidi ujitafakari sana my friend meko full

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unawajengea majumba ya mabilioni marais wastaafu kwa kodi za wafanyanyakazi unaowanyima mafao yao na kuwaambia watafute ajira kwa miezi 18. Hiyo miezi 18 unatarajia waishije

Halafu unawajengea majumba ya mabilioni marais wastaafu kwa kodi za wafanyanyakazi unaowanyima mafao yao na kuwaambia watafute ajira kwa miezi 18. Hiyo miezi 18 unatarajia waishije?

CCM wanawafanya Watanzania kuwa watumwa. Kwani Ni lazima mtu kuajiriwa maisha yako yote?

Mtu apewe akiba yake, akajipange kujiajiri.

Pesa inatumika Kama Shamba la Bibi.

Kwanini Wafanyakazi wasiweke board of directors kutoka wafanyakazi wenyewe. Hesabu wakague wenyewe.

Na Wafanyakazi wapewe FAO la kujitoa ...
Mtu akimaliza mkataba, apewe akiba yake
 
Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu

Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.

Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.

Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.

ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390

View attachment 1605391
View attachment 1605436

Nchi mbona ilishauzwa zamani?
 
Sera za kizarau sana hizo, Yaan sera za kuwa watu hatujui tunachokitaka. Tokea uchaguzi wa 95 Hadi leo wanatujia na sera za kitoto sana ila niwaambie tu ukweli kila kukicha watu wanakuwa waelewa sio km wanavyowafikiria wa Tanzania kwa sasa. Silaha yao ni moja tu ya tume imebaki ila nayo inahitaji muda tu
 
Eti wauza nchi kauli ya kijinga sana hii.
Devis mosha kaona hana kitu hana vipesa tena kaamua kujipendekeza kwa mtukufu magufuli Mkoloni mweusi angalau akwae uteuzi lakini kwa kauli hizo za kishamba na kishetani hatakaa apate kitu ataishia kufirisika mpaka asukume mkokoteni asicheze na laana ya kukataa uonevu unyanyasaji wa CCM
 
Davis Mosha rafiki yangu wa zamani soma upepo

Na mie kama rafiki yake wa zamani kabla hajawa na kitu nasema bado nampenda lakini tu namwomba awe anasoma upepo unakoelekea kwani hali ya uchaguzi wa leo sio sawa na ule ambao yeye na wenzake pamoja na Ridhiwan walivyompigia kampeni JK, wakati ule alicheza vizuri karata zake na akafunga magoli sasa ni muhimu kulinda goli zake hizo kwani upepo unaweza ukabadilika na kujikuta hana tofauti na Lugumi au Zacharia Hans Poppe,

Davis wee ulishapata chako sasa achana na farasi aliyekwisha kufa hana faida na wewe tena au umeenda kuwaringishia rafiki zako kuwa wewe ni kada na upo karibu na ma Rais wa inchi hii?
 
Wajinga sana hao Wanyama halafu bado wanataka tuwaite ni wazalendo.
 
Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu

Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.

Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.

Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.

ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390

View attachment 1605391
View attachment 1605436

I Kwani ye nani hadi atuelekeze? Tunataka katiba mpya ya wananchi.
Tumbo lake lisitusumbue
 
Tatizo la CCM wanadhani kila mtu wao anasikilizwa na raia. Wananchi kama wananchi wana jambo lao tarehe 28.10.2020 ili kuwahakikishia kuwa wao ndio wenyenchi sasa subirini muone game mbona mtafurahi tu 😂😂😂😂
Hahaha haaa CCM yenyewe inashauriwa na cyprian Musiba Le mutuz akina polepole watu wajinga wajinga watu ndiyo maana watanzania wameidharau CCM kutokana na watu walioizunguka CCM
 
Back
Top Bottom