dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,172
- 3,082
Ukizidiwa warusha chochote tu hata mchangaEti wauza nchi kauli ya kijinga sana hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukizidiwa warusha chochote tu hata mchangaEti wauza nchi kauli ya kijinga sana hii.
Halafu unawajengea majumba ya mabilioni marais wastaafu kwa kodi za wafanyanyakazi unaowanyima mafao yao na kuwaambia watafute ajira kwa miezi 18. Hiyo miezi 18 unatarajia waishije?FAO la kujitoa Ni HAKI ya Mfanyakazi au Ni Hisani?
CCM rudisha Fao la kujitoa
Mnachekesha hivi mnasoma hata ilani za vyama nyie au ndo ushabiki tu.Unaposena "ATAUZA NCHI"
KUVIPI?
MIKUTANO YA CCM, NENO "HAKI" MBONA HALISIKIKI?
"HAKI HUINUA TAIFA"
Devis kaenda huko kujipendekeza kwa mtukufu magufuli apate uteuzi endapo itatokea NECCCM Tumeccm na Polisiccm wakamrejesha ikulu kwa nguvu pasipo ridhaa ya wapiga kura
Lissu yupo na Ponda na Maalim Seif we upo na Kipoozeo… inabidi ujitafakari sana my friend meko fullAliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu
Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.
Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.
Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.
ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390
View attachment 1605391
View attachment 1605436
Halafu unawajengea majumba ya mabilioni marais wastaafu kwa kodi za wafanyanyakazi unaowanyima mafao yao na kuwaambia watafute ajira kwa miezi 18. Hiyo miezi 18 unatarajia waishije
Halafu unawajengea majumba ya mabilioni marais wastaafu kwa kodi za wafanyanyakazi unaowanyima mafao yao na kuwaambia watafute ajira kwa miezi 18. Hiyo miezi 18 unatarajia waishije?
Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu
Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.
Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.
Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.
ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390
View attachment 1605391
View attachment 1605436
Devis mosha kaona hana kitu hana vipesa tena kaamua kujipendekeza kwa mtukufu magufuli Mkoloni mweusi angalau akwae uteuzi lakini kwa kauli hizo za kishamba na kishetani hatakaa apate kitu ataishia kufirisika mpaka asukume mkokoteni asicheze na laana ya kukataa uonevu unyanyasaji wa CCMEti wauza nchi kauli ya kijinga sana hii.
Davis Mosha rafiki yangu wa zamani soma upepo
Wanalo CCM kwani ndiyo waliuza Nchi tokea 1998 kwa kubinafusisha mashirika ya umma na kuuza madini yote huku wakiwa ni omba omba wa misaada toka nje bila AibuHilo soko la kuuza nchi lipo wapi?
Nchi iliuzwa tokea 1998 na ili wauze vizuri bila kelele wakamuua nyerere kabsaHii nchi iuzwe mara ngapi...!?
Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu
Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe Magufuli, Kura za Ubunge kwa Priscus Tarimo na Kura za Madiwani wa CCM. Davis Mosha alikutana na Kinamama vijana na Wazee wa Kata ya Miembeni katika Kikao cha ndani na kuzungumza nao Umuhimu wa Kuipa kura chama cha Mapinduzi.
Pia alitumi nafasi hiyo kueleza kazi alizozifanya Dr. John Pombe Magufuli pamoja faida ya kumchagua katika Kipindi kingene cha Miaka mitano.
Aliwasihi wakina mama na Wazee kuzungumza na Vijana wao juu ya Mustakabali wa Maisha yao ya Baadae kwani kura yao ni yenye thamani kubwa na Dr. Magufuli pekee ndiye anayeweza kuipa thamani kura hiyo.
ia alitumia muda huo kumuombea Priscus Tarimo kura za Ubunge na kuahidi iwapo Priscus atachaguliwa basi atatekeleza zile ahadi binafsi alizoahidi mwaka 2015 kupitia Priscus na Madiwani wake. Davis Mosha alimaliza kwa kusema bado nia yake ni kukombolewa kwa Jimbo la Moshi ili tupate maendeleo.View attachment 1605388View attachment 1605389View attachment 1605390
View attachment 1605391
View attachment 1605436
Hahaha haaa CCM yenyewe inashauriwa na cyprian Musiba Le mutuz akina polepole watu wajinga wajinga watu ndiyo maana watanzania wameidharau CCM kutokana na watu walioizunguka CCMTatizo la CCM wanadhani kila mtu wao anasikilizwa na raia. Wananchi kama wananchi wana jambo lao tarehe 28.10.2020 ili kuwahakikishia kuwa wao ndio wenyenchi sasa subirini muone game mbona mtafurahi tu 😂😂😂😂