Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
View attachment 1919742
hawa na wale friends of simba ya kina aveva na hans na wengine ndo walikuwa wako kwenye kushindana fitna za nje ya uwanja baina ya hiz club mbili...
kama watarudi na mentality ile ile ya fitna za nje ya uwanja bila kukubali mabadiliko ili soka letu likuwe kama walivyokubali friends of simba kukaa pemben basi hawataisaidia yanga
maana fitna za nje ya uwanja na mambo ya kusajili na wachezaj wa kawaida hayakusaidia mpira wetu ndo maana Friends of Simba walipo ridhia kukaa pemben basi mambo yakabadilika kule simba
NB: naposema wakubali kubadilika namaanisha wesiwe na mentality ya kutengeneza pesa kupitia yanga, maana tunajua haya makundi ya wafanyabiashara yaliokuwepo Yanga na Simba yalikuwa yanatumia mfumo dhaifu wa hizi club kwa maslahi yao zaid kuliko club,
maana yalikuwa yanafanya fitna za nje ya uwanja na pia wanahodhi mambo ya usajili .. kwa kusajili wachezaji kisha kujilipa kwenye viingilio au kuwauza wachezaji au kutengeneza jersey na kujinufaisha wao wafanyabiashara
ndo walikuwa wanatengeneza makundi ya makomandoo na wale wanaojiita wazee wa club wakiona kuna kiongoz analeta chokochoko basi hao makomandoo na wazee kwa kofia za wanachama wanamtengenezea zengwe..
walikuwa hawagombei uongoz wao wanajifanya wafia club na wanahudumia club ila wanatoa 10 wanapata 100
Wa upande wa Simba walionekana kuamua kubadilika na kuweka maslah kwanza ingawa ndo yakaja yale ya kina Aveva kuwekwa ndan kwa kuizilumu Simba sijui case imeishaje
kwa upande wa Yanga alipokuja GSM naona hawa jamaa wakakaa pemben saaa hv kama wemerud ni vizuri kama wataamua kuweka maslah ya club kwanza
maana habar ya kusajiliana wachezaj wa kuweza kumfunga gormahia tu na APR.. tukabak kushindana vikombe vya humu ndan ambavyo havikupi hata 500m kwa mshindi zishapita