Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati ya kurubuni nakumwaga mpungaHizi kamati za roho mbaya hivi na roho zao ziko hivyo hivyo au?
🔥🔥🔥🔥🔥 Aminia sana hawa viumbe wa Mwenyezi Mungu.Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
View attachment 1919742
Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
View attachment 1919742
Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
View attachment 1919742
Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
View attachment 1919742
Huu sio muda wa kupambana na simbaHao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
View attachment 1919742
Utopo FC mmempania Mwamedi sio Mnyama...
Mwamedi tuache na Simba yetu..
Safari hii atucheki na kimaWazee wa nje ya pitch balaa sana hao
Hivi yanga kinachowashinda kuutoa huo mwiko huko nyuma ni kitu gani hasa?Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
View attachment 1919742
Mo asingemtumia bashite na wengineo waliokua matawi kipindi kile kuwazuia hao jamaa kuisaidia Yanga,hao walikua wanatishwa wakigusa Yanga yatawakuta ya manji,Yanga si ya kutembeza bakuli nchi hii lakini ilitembeza baada ya matajiri wote wanaoipenda Yanga kupigwa mkwara,mikia mkae kwa kutulia sana maana hao jamaa wana hasira kali,maji mtaita mmaMpira uwanjani,wanaume wazima unganeni hata mfike 100 lakini hamumuwezi Mwanaume wa shoka mmoja tu nae ni MO! Yeye anatenda kwa vitendo,waleteni wote na pesa zao za kuunga unga lakini bado watakalishwa chini.
Utakua umekuja mjini juzi ndio maana huwajui hao watu,hao jamaa ni wakatili sana katika soka la TanzaniaHuu sio muda wa kupambana na simba
Shauri yako
Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
View attachment 1919742