Dawa bora na sahihi ya kuondoa rashes uson

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Kama kichwa cha habar kilivyo. Mtaalam anipe ushauri wa dawa au kipodozi cha kuondoa rashes katika mfumo wa vipele vidogo vidogo.
 
chukua colgate kidogo mix na vaseline!oshauso then ipake uson huku ukiisugua taratiibu!masuala ya rashes utayasikia kwa majirani
 
Mafuta ya nazi ya parachuti ndo kiboko.

Mimi mwanzo nilikuwa na viupele upele usoni,nikashawishiwaaaaa na wauzaji wa Oriflame nikaanza kutumia vipodozi vyao lakin vikiisha,,rashez pale pale.nikawa nakosa aman kabisa..

Kuna boss wangu mmoja hivi akaniambia tumia mafuta ya nazi,bwanaeee ninamiezi kumi sijui rashes ndo kitu gani niko soft sana.sasa naifurahia rangi yangu nyeusi[emoji7].
 
aisee,em tupia kapicha tujionee
 
Kama kichwa cha habar kilivyo. Mtaalam anipe ushauri wa dawa au kipodozi cha kuondoa rashes katika mfumo wa vipele vidogo vidogo.
Mhhhh jinsia gani mkuu? ID naona kama ya kiume halafu unataka ngozi nyororo nimestuka mkuu.
 
chukua colgate kidogo mix na vaseline!oshauso then ipake uson huku ukiisugua taratiibu!masuala ya rashes utayasikia kwa majirani
chukua colgate kidogo mix na vaseline!oshauso then ipake uson huku ukiisugua taratiibu!masuala ya rashes utayasikia kwa majirani
OK mkuu ssa baada y kupaka huo mchanganyko unaosha na maji safi au nikubaki nayo siku nzma?
 
Back
Top Bottom