Dawa gani inaweza kundoa kipilipili sugu?

Dawa gani inaweza kundoa kipilipili sugu?

BB_DANGOTE

Senior Member
Joined
Sep 25, 2023
Posts
167
Reaction score
148
Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
 
Pilipili kichaa changanya na oil iliyotumika ya pikipiki ya mdudu
 
Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
Jinsia yako tafadhali...??
 
Acha ujinga hiyo ni exceptional.

Natural dredlock
 
Baki na kipilipili chako unless unataka matatizo yakukuweka bize
 
Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
Nakuelewa my dear, tumeaminishwa kuwa kipilipili ni nywele 'mbaya' zisiponyooka. Lakini, ndivyo tulivyoumbwa, na Mungu hakukosea.

Tumia leave-in conditioner ya aina yoyote kila siku unapotengeneza nywele zako. Nina mifano nichache
Aunt jackie's flaxseed series
Natural desire curling cream with flaxseed (local brand)
Mega growth

Natumaini nikipata nguvu nitaanzisha uzi wa namna ya kuzipenda na kukuza upya kipilipili. Mimi ni 'naturalista' miaka 8 sasa, bila dawa wala ku blow-dry nywele. Kipilipili kimekubali sasa nauthubutu kusema ni waist length, proudly natural
 
ongeza maji kwenye mchuzi itapunguza ukari wa kipilipili kichaa ulichonacho
 
Sema kuna wanawake wasio suka wakijuaga kuviachia vipipili vyao wanavutiaga sana 😅
 
Tumia wild growth hair oil zipo (S.H Ammon)inalainisha sana nywele .
 
Back
Top Bottom