Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Safi sana..ngoja tusubir wajeNgoja nami nikae pembeni hapa..kuna mtu kanishauri hukusu pareto kua unaitwnga, unga wake nisumu nzuri yakuhifadhia maharage na hayachafuki kama yanavyochafuka ukihifadhi kwa hizi sumu zadukani bado naifanyia uchunguzi njia hii kujua ubora wake pia kama kuna aliowahi kuitumia njia hii na anauhakika nayo basi ninyema akatujuza nawengine
Shukran sn mkuuu,sasa je kwa wale wenye mahind au maharage mengi zaid tunawasaidiaje
Weka kwenye mifuko ya kuhifadhia,inaitwa kinga njaa hutajutia.
Kama anataka kuhifadhi kwa mwaka mmoja bado ile mifuko itamfaa kwasababu gunia moja la maharage kwa mfuko mmoja(3500-4000) mwaka mzima,wakati gunia tatu za maharage kwa gramu kadhaa(~6000-7000) kwa miezi sita.Hivyo unaweza kuchagua mwenyewe,kama siyo tumia dawa za asili kama unga wa mbegu za mwarobaini au pareto hutajutia.Shukran sn mkuuu,sasa je kwa wale wenye mahind au maharage mengi zaid tunawasaidiaje....mana unakuta mtu ana gunia 900 huko
Ya mapipa ya plastic yenye mtuniko vipi? Nasikia hiyo ni kiboko.Kama anataka kuhifadhi kwa mwaka mmoja bado ile mifuko itamfaa kwasababu gunia moja la maharage kwa mfuko mmoja(3500-4000) mwaka mzima,wakati gunia tatu za maharage kwa gramu kadhaa(~6000-7000) kwa miezi sita.Hivyo unaweza kuchagua mwenyewe,kama siyo tumia dawa za asili kama unga wa mbegu za mwarobaini au pareto hutajutia.
Njia safi na salama ya kuhifadhi nafaka iwe ni mahindi au maharage ni kuyaweka ndani ya mapipa alafu funga (na kukaza) mfuniko.Nasikia maharage yanaweza kukaa hata miaka 20 yasiharibike ishu Ni jinsi ya kuzuia dumuzi wasiyapekeche
Sio tu kiboko bali tofauti na madawa/kemikali, ni salama kwa afya ya binadamu.
Sasa hivi kila sehemu duniani wanajaribu kutokutumia kabisa kemikali kwenye mazao. Nchi zilizoendelea ukiingia supermarket unakuta kuna bidhaa za kilimo zenye lebo ya ''organic'' kuonyesha kuwa mazao hayo hayakuwekwa kemikali. Na bei yake ni kubwa zaidi. Tanzania tukitaka bidhaa zetu ziwe na soko zuri itatubidi tuanze kilimo kisichotumia kemikali.Wadau kama kichwa cha habari kinavojieleza, nina kama gunia 30. Naomba mwenye kujua dawa nzuri ya kuhifazia maharage anijuze kwani nahitaji kuyaweka kama miezi minne..
Najua wajuvi mnaodili ni hili zao mpo.
Natanguliza shukrani kwenu
Sema usije kuhifadhi maharage kwene mifuko hii then uje umuuzie mtu yambegu utakua umemkatili sana mana hayataota ..kwakifupi nafaka ikihifadhiwa kwene mifuko hii inafaa kwa matumizi ya chakula tu nasio kufanya kama mbeguWeka kwenye mifuko ya kuhifadhia,inaitwa kinga njaa hutajutia.
Ahsante sn mkuuKama anataka kuhifadhi kwa mwaka mmoja bado ile mifuko itamfaa kwasababu gunia moja la maharage kwa mfuko mmoja(3500-4000) mwaka mzima,wakati gunia tatu za maharage kwa gramu kadhaa(~6000-7000) kwa miezi sita.Hivyo unaweza kuchagua mwenyewe,kama siyo tumia dawa za asili kama unga wa mbegu za mwarobaini au pareto hutajutia.
Ndio tunataka huo utaalam wa kuyahifadhNasikia maharage yanaweza kukaa hata miaka 20 yasiharibike ishu Ni jinsi ya kuzuia dumuzi wasiyapekeche
Eeeeeeh
Daaaa thanks much mkuu,elim kubwa sn hiiNjia safi na salama ya kuhifadhi nafaka iwe ni mahindi au maharage ni kuyaweka ndani ya mapipa alafu funga (na kukaza) mfuniko.
Mdudu hata mmoja akiingia jua ni mkono wa mtu.
π π π πSio tu kiboko bali tofauti na madawa/kemikali, ni salama kwa afya ya binadamu.
Nunua diaba zile kubwa kabisa,unayaweka na kufunga kwa mfuniko wake for good measure unaweza kuyatia dawa kwani wakati unayaweka yanaweza kuwa tayari wadudu waliingia,ila Kama una hakika yako salama,ukiyaseal yanakaa miaka bila kuharibikaNdio tunataka huo utaalam wa kuyahifadh