Dawa gani ni nzuri ya kuhifadhia maharage

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
655
Reaction score
1,069
Wadau kama kichwa cha habari kinavojieleza, nina kama gunia 30. Naomba mwenye kujua dawa nzuri ya kuhifazia maharage anijuze kwani nahitaji kuyaweka kama miezi minne..

Najua wajuvi mnaodili ni hili zao mpo.

Natanguliza shukrani kwenu
 
Ngoja nami nikae pembeni hapa..kuna mtu kanishauri hukusu pareto kua unaitwnga, unga wake nisumu nzuri yakuhifadhia maharage na hayachafuki kama yanavyochafuka ukihifadhi kwa hizi sumu zadukani bado naifanyia uchunguzi njia hii kujua ubora wake pia kama kuna aliowahi kuitumia njia hii na anauhakika nayo basi ninyema akatujuza nawengine
 
Safi sana..ngoja tusubir waje
 
Shukran sn mkuuu,sasa je kwa wale wenye mahind au maharage mengi zaid tunawasaidiaje....mana unakuta mtu ana gunia 900 huko
Kama anataka kuhifadhi kwa mwaka mmoja bado ile mifuko itamfaa kwasababu gunia moja la maharage kwa mfuko mmoja(3500-4000) mwaka mzima,wakati gunia tatu za maharage kwa gramu kadhaa(~6000-7000) kwa miezi sita.Hivyo unaweza kuchagua mwenyewe,kama siyo tumia dawa za asili kama unga wa mbegu za mwarobaini au pareto hutajutia.
 
Nasikia maharage yanaweza kukaa hata miaka 20 yasiharibike ishu Ni jinsi ya kuzuia dumuzi wasiyapekeche
 
Ya mapipa ya plastic yenye mtuniko vipi? Nasikia hiyo ni kiboko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia maharage yanaweza kukaa hata miaka 20 yasiharibike ishu Ni jinsi ya kuzuia dumuzi wasiyapekeche
Njia safi na salama ya kuhifadhi nafaka iwe ni mahindi au maharage ni kuyaweka ndani ya mapipa alafu funga (na kukaza) mfuniko.

Mdudu hata mmoja akiingia jua ni mkono wa mtu.
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavojieleza, nina kama gunia 30. Naomba mwenye kujua dawa nzuri ya kuhifazia maharage anijuze kwani nahitaji kuyaweka kama miezi minne..

Najua wajuvi mnaodili ni hili zao mpo.

Natanguliza shukrani kwenu
Sasa hivi kila sehemu duniani wanajaribu kutokutumia kabisa kemikali kwenye mazao. Nchi zilizoendelea ukiingia supermarket unakuta kuna bidhaa za kilimo zenye lebo ya ''organic'' kuonyesha kuwa mazao hayo hayakuwekwa kemikali. Na bei yake ni kubwa zaidi. Tanzania tukitaka bidhaa zetu ziwe na soko zuri itatubidi tuanze kilimo kisichotumia kemikali.
 
Kama anataka kuhifadhi kwa mwaka mmoja bado ile mifuko itamfaa kwasababu gunia moja la maharage kwa mfuko mmoja(3500-4000) mwaka mzima,wakati gunia tatu za maharage kwa gramu kadhaa(~6000-7000) kwa miezi sita.Hivyo unaweza kuchagua mwenyewe,kama siyo tumia dawa za asili kama unga wa mbegu za mwarobaini au pareto hutajutia.
Ahsante sn mkuu
 
Ndio tunataka huo utaalam wa kuyahifadh
Nunua diaba zile kubwa kabisa,unayaweka na kufunga kwa mfuniko wake for good measure unaweza kuyatia dawa kwani wakati unayaweka yanaweza kuwa tayari wadudu waliingia,ila Kama una hakika yako salama,ukiyaseal yanakaa miaka bila kuharibika
 
Back
Top Bottom