Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

bawasiri dawa yake ni surgery tu, na bahati mbaya surgery nayo ikifanyika inasemekana huwa kuna recurrence. dawa za kienyeji ni utapeli tu. tunaotoka familia za kidaktari tunajua hili.
 
bawasiri dawa yake ni surgery tu, na bahati mbaya surgery nayo ikifanyika inasemekana huwa kuna recurrence. dawa za kienyeji ni utapeli tu. tunaotoka familia za kidaktari tunajua hili.
Sio kweli. Hakuna aliefanyiwa surgery akakosa kurudiwa na huyo mdudu. Au kumsaidia tatizo likaisha. Huko usiipoteze muda. Hilo tatizo litatibika kwa tiba za asili tu. Wahadzabe wana tiba ya huyu mdudu.
 
Bawasiri sio ugonjwa ni mfumo wa maish ya mtu binafsi ndo hupelekea shida iyo na tiba yake sio dawa utapigwa pesa nyingi sana na hautopona cha msingi ni kubadili mfumo wa MAISHA kuanzia chakula yaani jitahidi mlo wako uwe na mboga za majani za kutosha na kunywa maji ya kutosha na usiwe mtu wa kukaa kwa mda mrefu sehemu moja ina maana Fanya mazoezi kama kukimbiaa baada ya muda inaondoka yenyewe
 
Niliwahi kusoma hapa hapa JF ushuhuda wa mtu kuhusu matumizi ya Castor Oil kwenye tatizo hilo. Namimi kuna wakati nilipata tatizo la choo kwa muda merefu mpaka nikapata hiyo bawasiri na nikanunua hiyo castor oil kujaribu kama itanisaidia. Kwangu ilifanya kazi aisee within 2 weeks ile nyama ikaanza kupotea na baada ya mwezi ilipotea kabisa mpaka sasa haijarudi tena
Castor oil inatibu kweli ... hata mimi ni shuhuda
 
Castor oil inatibu kweli ... hata mimi ni shuhuda
mkuu ulikuwa na ya nje au ndani... maana ya ndani ndo issue inayowasumbua watu wengi... Yaani dude linatoka wakati wa haja na maumivu makali... muda mwingine na damu kabisa.... baadae wengine linarudi na wengine halirudi..
 
MKuu tatfuta either Casor Oil au Black seed oil uwe unapaka kwenye sehemu yako mara 2 kwa siku, jaribu kufululiza, naamini kwa marefu kuanzia wiki mbili utakua ushaona matunda
 
MKuu tatfuta either Casor Oil au Black seed oil uwe unapaka kwenye sehemu yako mara 2 kwa siku, jaribu kufululiza, naamini kwa marefu kuanzia wiki mbili utakua ushaona matunda
Kama ipo ndani inatoka wakati wakujisaidia
 
Hebu watu mkuje mtoe shuhuda kuhusu bawasiri hapa.
 
Back
Top Bottom