Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
bawasiri dawa yake ni surgery tu, na bahati mbaya surgery nayo ikifanyika inasemekana huwa kuna recurrence. dawa za kienyeji ni utapeli tu. tunaotoka familia za kidaktari tunajua hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli. Hakuna aliefanyiwa surgery akakosa kurudiwa na huyo mdudu. Au kumsaidia tatizo likaisha. Huko usiipoteze muda. Hilo tatizo litatibika kwa tiba za asili tu. Wahadzabe wana tiba ya huyu mdudu.bawasiri dawa yake ni surgery tu, na bahati mbaya surgery nayo ikifanyika inasemekana huwa kuna recurrence. dawa za kienyeji ni utapeli tu. tunaotoka familia za kidaktari tunajua hili.
Castor oil inatibu kweli ... hata mimi ni shuhudaNiliwahi kusoma hapa hapa JF ushuhuda wa mtu kuhusu matumizi ya Castor Oil kwenye tatizo hilo. Namimi kuna wakati nilipata tatizo la choo kwa muda merefu mpaka nikapata hiyo bawasiri na nikanunua hiyo castor oil kujaribu kama itanisaidia. Kwangu ilifanya kazi aisee within 2 weeks ile nyama ikaanza kupotea na baada ya mwezi ilipotea kabisa mpaka sasa haijarudi tena
Unaijua castor oil lakini?bawasiri dawa yake ni surgery tu, na bahati mbaya surgery nayo ikifanyika inasemekana huwa kuna recurrence. dawa za kienyeji ni utapeli tu. tunaotoka familia za kidaktari tunajua hili.
mkuu ulikuwa na ya nje au ndani... maana ya ndani ndo issue inayowasumbua watu wengi... Yaani dude linatoka wakati wa haja na maumivu makali... muda mwingine na damu kabisa.... baadae wengine linarudi na wengine halirudi..Castor oil inatibu kweli ... hata mimi ni shuhuda
mkuu m nimeambiwa nitafute na lile exoskeleton la konokono nisange unga wake nichanganye na castrol oil...... halafu nipakeUnaijua castor oil lakini?
Ogopa sana screenshot zilizocropiwaDawa yangu ni bora 0712505049View attachment 2852079
Kama ipo ndani inatoka wakati wakujisaidiaMKuu tatfuta either Casor Oil au Black seed oil uwe unapaka kwenye sehemu yako mara 2 kwa siku, jaribu kufululiza, naamini kwa marefu kuanzia wiki mbili utakua ushaona matunda
Kama ipo ndani inatoka wakati wakujisaidia
mkuu hadi black seed oil inafaa kwa bawasiri?wewe jipake tu kwa nje mkuu
mkuu hadi black seed oil inafaa kwa bawasiri?
ni tiba ambayo imefanyiwa utafiti na madaktari bingwa(specialist )inatibu bawasiri na magonjwa mengine Zaid ya 2000Ag cera ndio dawa gani
Acha kudanganya watu dawa zipo vizuri tubawasiri dawa yake ni surgery tu, na bahati mbaya surgery nayo ikifanyika inasemekana huwa kuna recurrence. dawa za kienyeji ni utapeli tu. tunaotoka familia za kidaktari tunajua hili.
Mkuu hii castor oil wanaifanyaje kutibu bawasiriCastor oil inatibu kweli ... hata mimi ni shuhuda
Kwanza hii inapatikana kwenye pharmacy yoyote ya karibu bei haizidi elfu 3000/=Mkuu hii castor oil wanaifanyaje kutibu bawasiri
Oyaa cream afyatulie huko sioTumia annusol suppository au cream zinapatikana phamarcy