Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

Niliwahi kusoma hapa hapa JF ushuhuda wa mtu kuhusu matumizi ya Castor Oil kwenye tatizo hilo. Namimi kuna wakati nilipata tatizo la choo kwa muda merefu mpaka nikapata hiyo bawasiri na nikanunua hiyo castor oil kujaribu kama itanisaidia. Kwangu ilifanya kazi aisee within 2 weeks ile nyama ikaanza kupotea na baada ya mwezi ilipotea kabisa mpaka sasa haijarudi tena
Hiyo ilikuwa bawasili kweli mkuu? Hiyo dawa ulikuwa unakunywa au?
 
Twanga kutunguu swaumu, chemsha maji yachemke pamoja na hivyo vitunguu, weka mahali kama ndoo ili uweze kukalia mvuke ukuingie. Vua nguo. Fanya hivyo kwa siku 5.
pamoja sana mkuu. Hii inatibu hadi bawasili ya ndani?
 
Back
Top Bottom