tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Hiyo ilikuwa bawasili kweli mkuu? Hiyo dawa ulikuwa unakunywa au?Niliwahi kusoma hapa hapa JF ushuhuda wa mtu kuhusu matumizi ya Castor Oil kwenye tatizo hilo. Namimi kuna wakati nilipata tatizo la choo kwa muda merefu mpaka nikapata hiyo bawasiri na nikanunua hiyo castor oil kujaribu kama itanisaidia. Kwangu ilifanya kazi aisee within 2 weeks ile nyama ikaanza kupotea na baada ya mwezi ilipotea kabisa mpaka sasa haijarudi tena