Dawa hii inatumika kama sumu ya panya. Je, ni salama kwa matumizi ya binadamu?

Joined
Jan 31, 2021
Posts
15
Reaction score
11
Ndungu zangu mm nimefika katika jukwaa hili ili niweze kutoa hili jambo ambalo binafsi limenitisha naomba kupata majibu kwa wataalamu, kuna dawa ya kutuliza maumivu kwa jina INDOSINE (si mtaalamu katika kuandika majina ya madawa).

Dawa hii imekuwa ikitumika kama sumu ya panya, na mimi binafsi nimeitumia kwani nilikuwa nasubumbuliwa sana na panya katika stoo yangu, ndugu zangu hii dawa imefanya vizuri sana kuliko dawa zote za panya nilizotumia zinazozalishwa nje na ndani ya Tanzania.

Sasa wasiwasi na swali langu, "hivi hii dawa itakuwa salama kweli kwa afya zetu sisi binadamu kama panya wanakufa kiasi kile na ukizingatia majaribio mengi ya tiba panya hutumika kama vijaribio?

Msaada kwa wataalamu wa madawa na afya. Asante.
 
Hiyo dawa inateketeza panya mpaka basi. Yaani ukiiweka kwenye chakula, panya watakula hicho chakula na kufa wote.

Ila cha kushangaza, eti imetengenezwa mahsusi kwa matumizi ya binadamu! Na wataalam wa afya wanasema ni dawa inayotumika kutuliza maumivu ya mifupa kwa binadamu.
 
Nimesikia kuna dawa za kuua magugu shambani ambapo kwa magugu ni sumu na mmea ni mbolea.Naona ni sawa na hiyo.

🤔🤔 Ngoja waje.
 
Ki
Ndungu zangu mm nimefika katika jukwaa hili ili niweze kutoa hili jambo ambalo binafsi limenitisha naomba kupata majibu kwa wataalamu, kuna dawa ya kutuliza maumivu kwa jina INDOSINE (si mtaalamu katika kuandika majina ya madawa).

Dawa hii imekuwa ikitumika kama sumu ya panya, na mimi binafsi nimeitumia kwani nilikuwa nasubumbuliwa sana na panya katika stoo yangu, ndugu zangu hii dawa imefanya vizuri sana kuliko dawa zote za panya nilizotumia zinazozalishwa nje na ndani ya Tanzania.

Sasa wasiwasi na swali langu, "hivi hii dawa itakuwa salama kweli kwa afya zetu sisi binadamu kama panya wanakufa kiasi kile na ukizingatia majaribio mengi ya tiba panya hutumika kama vijaribio?

Msaada kwa wataalamu wa madawa na afya. Asante.
Kinacho zingatiwa hapo Ni dosage yake ya matumizi. Kwa panya unapochanganya una over dose Kwanza kiumbile panya haiwezi himili dosage ya binadamu Haya ya mtoto mchanga. Hivyo kinachotokea ni kuwa panya akiitumia hio Dawa unaenda moja Kwa moja kwenye mifupa ya panya Na badala ya kuitibu Na kwa kuwa ame overdose (panya) unasaga mifupa yake Na kushindwa kutembea n.k hivyo hupelekea Kifo.
 
Mkuu hii dawa inachanganywa na nini ama unaitega na nini maaana ni miaka mingi sana nasikia hii dawa ya indosine kuwa panya akila anaondoka
 
Back
Top Bottom