Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Kwa nini isifuatiliwe ikajulikana,kwa nini nchi zenye waislamu wengi,maambukizi ni 0.1%,kuliko nchi zisizo na waislamu wengi au hakuna kabisa kuwa 5%,ya maambukizi.
Hili ni suala la afya na muhimu sana,badala ya kutumia gharama kubwa za madawa,huwenda kukawa na njia zisizo na gharama yoyote kupunguza na kuondoa Ukimwi kupitia nchi hizi zenye waislamu wengi.