Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Status
Not open for further replies.
Kwa nini isifuatiliwe ikajulikana,kwa nini nchi zenye waislamu wengi,maambukizi ni 0.1%,kuliko nchi zisizo na waislamu wengi au hakuna kabisa kuwa 5%,ya maambukizi.
Hili ni suala la afya na muhimu sana,badala ya kutumia gharama kubwa za madawa,huwenda kukawa na njia zisizo na gharama yoyote kupunguza na kuondoa Ukimwi kupitia nchi hizi zenye waislamu wengi.
 
Wewe utakuwa sio mzima,unaniuliza kuhusu dini nyingine habari zao,waulize wenye hizo dini.Mimi hapa nimekuletea habari za uislamu,kwa vile mimi ni muislamu.Wa dini nyingine waulize Wenye dini hizo.
Wewe una tatizo la ubongo...mainly Medula Oblongata

Umeambiwa ulete data kuhusu uliyoyasema.

Weka data hapa.
 
hakuna kitu kama hicho kwa siye wakongwe tetesi za tiba ya HIV tumezisikia toka 2006 na hakuna dawa inayotolewa
 
Hii habari ilitoka November 2, 2016 kwa mujib wa iyo tovut tajwa ya kiingereza
 
Wewe una tatizo la ubongo...mainly Medula Oblongata

Umeambiwa ulete data kuhusu uliyoyasema.

Weka data hapa.
Ndio maana nikakuambia wewe sio mzima,soma hiyo makala ya dawa ya UKIMWI,mpaka mwisho,utaona maambukizi katika nchi za Mashariki ya Kati na nchi za Afrkka kaskazini ni 0.1(maeneo haya wakazi wake 97% ni waislamu).Na maambukizi Afrika,kusini ya jangwa la Sahara(ambako wakazi wengi sio waislamu) ni 5%.
 
Kwahiyo???
 
nasubili tamko la WHO tofauti na hapo itakua sawa na kikombe cha babu tu
Ni kweli, yaweza ikawa ni virutubsho tu wakasema dawa, babu wa waliondo alishapga pesa zake ktambo, Israel nayo inatafuta income from worldwide
 
Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Hazijasusiwa na dini fulani bali sema zimesusiwa na Waarabu.Mwarabu anazuga tu kususa hawezi kwani mbona vitu vingine hawezi kususa? Mwarabu hana uwezo wowote wa kutengeneza kitu chochote duniani,hata pini ya kufungia nepi hawezi.Akisusa dawa kifo kikimzingira lazima tu ataitafuta kama anavyotafuta mabomu,bunduki,ndege za kivita,vifaru na vingine vyote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom