Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Wewe una tatizo la ubongo...mainly Medula OblongataWewe utakuwa sio mzima,unaniuliza kuhusu dini nyingine habari zao,waulize wenye hizo dini.Mimi hapa nimekuletea habari za uislamu,kwa vile mimi ni muislamu.Wa dini nyingine waulize Wenye dini hizo.
Ndio maana nikakuambia wewe sio mzima,soma hiyo makala ya dawa ya UKIMWI,mpaka mwisho,utaona maambukizi katika nchi za Mashariki ya Kati na nchi za Afrkka kaskazini ni 0.1(maeneo haya wakazi wake 97% ni waislamu).Na maambukizi Afrika,kusini ya jangwa la Sahara(ambako wakazi wengi sio waislamu) ni 5%.Wewe una tatizo la ubongo...mainly Medula Oblongata
Umeambiwa ulete data kuhusu uliyoyasema.
Weka data hapa.
Kwahiyo???Ndio maana nikakuambia wewe sio mzima,soma hiyo makala ya dawa ya UKIMWI,mpaka mwisho,utaona maambukizi katika nchi za Mashariki ya Kati na nchi za Afrkka kaskazini ni 0.1(maeneo haya wakazi wake 97% ni waislamu).Na maambukizi Afrika,kusini ya jangwa la Sahara(ambako wakazi wengi sio waislamu) ni 5%.
Tujuwe mbinu gani wanazotumia kupunguza maambukizi,mpaka kufikia 0.2%.Na kwingine wazifuate.Kwahiyo???
Ni kweli, yaweza ikawa ni virutubsho tu wakasema dawa, babu wa waliondo alishapga pesa zake ktambo, Israel nayo inatafuta income from worldwidenasubili tamko la WHO tofauti na hapo itakua sawa na kikombe cha babu tu
uko sawa mkuu.....hapo mwamuzi ni WHONi kweli, yaweza ikawa ni virutubsho tu wakasema dawa, babu wa waliondo alishapga pesa zake ktambo, Israel nayo inatafuta income from worldwide
Mungu anajua kubalancisha mambo!Huwa najiuliza kama kusingekuwa na gonjwa la Ukimwi,hali ingekuwaje kwa kizazi hiki.
Mungu WAP, ukmwi ni binadamu tu na zambi zaoMungu anajua kubalancisha mambo!
Kweli kabisaukijua the mode of transmision ya ukimwi ucngesema waznz
Ahaa !Mungu anajua kubalancisha mambo!
Mambo yanapozodi sana basi Mungu anabalancisha maana ingekuwa ni balaa na utandawazi huu mhhh sijui ingekuwaje!Ahaa !
'Kubalancisha' kivipi fafanua.
Kweli kamandaIsrael kweli ni Taifa teule la Mungu
NotedKweli kamanda
Hazijasusiwa na dini fulani bali sema zimesusiwa na Waarabu.Mwarabu anazuga tu kususa hawezi kwani mbona vitu vingine hawezi kususa? Mwarabu hana uwezo wowote wa kutengeneza kitu chochote duniani,hata pini ya kufungia nepi hawezi.Akisusa dawa kifo kikimzingira lazima tu ataitafuta kama anavyotafuta mabomu,bunduki,ndege za kivita,vifaru na vingine vyote.Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu