Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Status
Not open for further replies.
wanakufa kwa wingi, ukipimwa positive wafa bado unasema ukimwi hamna siamini hapo hata kidogo

Mkuu,

Sikulazimishi kuamin ila cha msingi inabidi ufungue akili sana na uipekeche vilivyo.

Kuna uzi mmoja niliuona humu ndani namkumbuka mwenye nao anaitwa kaveli na mchangiaji mkubwa alikuwa DECEPTION.

Sisemi moja kwa moja huu Ugonjwa haupo ila wanasayansi wamependekeza utafiti ufanyike.

Nnakushauri ukasome kwanza kabla ya kubisha na kutokuamin mkuu

Hili ni jukwaa huru unapata kitu unaenda kujifunza zaidi
 
Siku hizi watu hawaogopi ukimwi kabisa kama unadhani wanaogopa nenda ukatazame madanguro pale sinza ambiance, nenda kinondoni kwa wahaya nenda buguruni nk. Siku hizi watu wanaogopa magonjwa haya
Cancer....... Ambayo inaua sana na kutesa.
Ugonjwa wa kisukari.....nao unamateso makubwa sana kuliko ukimwi.
Nawashauri walete dawa ya vitu hivi kwanza
 
Duh kama wata susa dawa kwa kigezo cha din bac itabidi iman iwaponze tu hakuna namna
 
Yani udini udini tuuu. sasa mambo haya na udini wapi na wapi.? Gerarihia
 
Nimatunain yangu hamjambo,
Nimeskia kuwa jopo la madactar kutoka nchni Izrael wamegundua dawa ya kitibu Ukimwi na dawa hyo itaanza kitumika rasm mwaka kesho kwa mujib wa wixara ya afya nchni humo.

Swali langu, navyojua mm Ukimwi hautibiki je hyo wizara ya Afya kuamua kutoa matangazo hyo nisahihi au ndo wanachochea maambukizi? Kma kunamtu kama kuna mtu anataarfa hzo naomba afafanue zaidi kwa faida ya wengi
 
Ya huko sema sijui kuapload ningeiweka hapa mkaisoma hyo document yenye maelezo hyo
 
Wakisusa shauli yao.
 
Hapo ndo utajua kifo hakina bondia...watameza mbona[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji12] [emoji12]
 
Thubutu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…