Acha FIKRA ZA UBAGUZI WA KIDININadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
hakuna dini mbele ya kifo ww..Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Huyo kwenye avator ndio ww au?? Sorry laknNi uongo tu. Mbona bongo haiji ???
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] naizo arv ndio zitakazo wakalisha (kuwaua)Mzungu hawezi leta dawa ya ukimwi. Mtasubiri sana.
Ugonjwa aulete yeye halafu awaletee dawa. Poleni mpk muishe mbaki Jero afrika nzima ndio atawaletea.
Mtaendele kula ARV tu
Uzuri hizo nchi wala hata hazisumbuki na UKIMWI yaani kule kwanza wakimuona mtu Ana ngoma hushangaa sana.Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Mbona mnajipendeka nyie wazayuni wa Tz,Waislael hawautambui ukristo kabisa kama mnavyoaminishwa katika makanisa yenu.Kama hujui watu wengi ni waislam kuliko wakristo huko Israel.Chanzo cha ugomvi kati ya waislam na mayahudi si dini kama unavyodhani weweNadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Rakin bwana ngoma ikiliaUkichaa huo mkuu