Ukimwi auna dawa kwasababu sio ugonjwaRakin bwana ngoma ikilia
Sana mwidmsho hupasuka kuna utofaut Mkubwa Sana zaman hta hakukuwa na tetes ya MTU kusema anatibu kitu hyo sasa Watu wengi wanajitangaza wanatibu akiwemo dct msigwa viongoz Wa din ndio usiseme yaan ujasir umekuwa mwingi kwa Watu kuaminisha Dawa IPO na inaponya tusikate tamaa tuwe wachungzi
Ni upungufu wa kinga mwiliniSio ugonjwa nn
Dawa zinavumbuliwa kila siku sema CDC huwa inazipiga chini. Ukimwi ni business kwa watengenezaji wa ARV ko ni ngumu wao kukubali dawa ya kutibu ugonjwa.
Alitokea Dr. Sebi na wakamsakama mbaba wa watu mpaka akafia jela. Kisa tu kujitangaza anayo dawa ya kutibu UKIMWI.
Acha niwamege tu sasa.
Uzuri ni kuwa, utakuwa unajimega mwenyewe.
Maana, baada ya hapo ARVs na nyumba ya milele vitakuhusu.
Dawa imepatikana Mkuu. Soma hiyo thread