Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Status
Not open for further replies.
Rakin bwana ngoma ikilia
Sana mwidmsho hupasuka kuna utofaut Mkubwa Sana zaman hta hakukuwa na tetes ya MTU kusema anatibu kitu hyo sasa Watu wengi wanajitangaza wanatibu akiwemo dct msigwa viongoz Wa din ndio usiseme yaan ujasir umekuwa mwingi kwa Watu kuaminisha Dawa IPO na inaponya tusikate tamaa tuwe wachungzi
Ukimwi auna dawa kwasababu sio ugonjwa
 
Weraaaaaaaa weraaaaaaaaaaa Leo naanza kwenda kavu asalaaaleeee
Weraaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Dawa zinavumbuliwa kila siku sema CDC huwa inazipiga chini. Ukimwi ni business kwa watengenezaji wa ARV ko ni ngumu wao kukubali dawa ya kutibu ugonjwa.
Alitokea Dr. Sebi na wakamsakama mbaba wa watu mpaka akafia jela. Kisa tu kujitangaza anayo dawa ya kutibu UKIMWI.


[HASHTAG]#Paprika[/HASHTAG], umeadika kweli kabisa, tatizo HIV / aids ni biashara ya wazungu koko hawa USA.

Wazungu koko, wana roho mbaya kama mutu ya Congo Kinshasa inapiga watu masasi bila huruma.

Ila, ukiwaona kwenye majukwaa wakinadi ARVs na misaada Kwa nchi zingine hasa zile maskini unadhani kuwa ni watu kumbe wana roho za kutu na roho za korosho.
 
Wazungu wanalitaka bara la africa kwa nguvu zote ili wajigawie steak iliyobaki...

Sasa kilichobaki ni mwendo wa kusambaza maradhi tu mara HIV, cancer ya ini, malaria, Ebola, mpaka kufikia 2050, waafrika wote kushnei!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa imepatikana Mkuu. Soma hiyo thread

Mkuu, dawa zipo tangia unazaliwa tatizo ni unafiki wa wazungu koko na viongozi uchwara wa huko Africa kutokuwa na nia njema na watu wengine.

Kwa hiyo, unaweza ukabandua kisha ukajajikuta kuwa umejibandua mwenyewe maana kupata dawa hiyo siyo jambo la mzaha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom