Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Status
Not open for further replies.

Siku ukipata ukimwi hako ka dini kako kakijinga katakufanya ule nguruwe ili upone kwa Israel utakwenda tu labda kama hutakuwa mgonjwa hata kuliwa 0713 utakubali kama itakuwa ni dawa.
 
Israeli Scientists Make Huge Breakthrough in Finding Cure for AIDS
A revolutionary new drug developed in Jerusalem causes HIV-infected cells to self-destruct.

Source: ILTV ISRAEL DAILY

New HIV Drug "Gammora" May Lead to Cure Breakthrough
Source: OutBuzz
 
wewe hujui maana ya UZINZI na UASHERATI
UZINZI- pale unaposhrki na mke/mme wa mtu
UASHERATI-Hapa ni kati ya yeyote na mtu ambaye hajaolewa.

sasa kuna madogo huko mashuleni wana UKIMWI, je utawaitta wazinzi?
 
Chezea kifo mkuu watatumia tuu....
 
Hakuna kilichokosewa wewe ndo unataka kukosea
 
Hizi stori za kupatikana kwa dawa tumeshazizowea mpaka tulishakata tamaa
 
Kumbe masuala ya kisiasa ndo yaliingilia utaalamu, ha ha ha dunia hii ina mambo makuu sana
kuna mambo mengi kweli hadi upotoshwaji ili watu waamini tunavyoamini leo juu ya ukimwi pia usisahau swala la biashara kwa kutngeneza dawa hizo na makondom, upande mwingine kutngeneza ajira ktk nchi zao
 
mkuu umesema ukweli mtupu

Ndiyo hivyo kaka, waambie tu vijana hapo Tanzania wasiruke majoka , wakijua kuwa dawa ipo.

Ila, wakumbuke kuwa wazungu ni wanafiki sana. Tuko nao ila wao wanatuwazia tofauti kabisaaa na tunavyowawazia wao.
Ngozi nyeupe yote ni watu wanafiki sana
 
Kumbe masuala ya kisiasa ndo yaliingilia utaalamu, ha ha ha dunia hii ina mambo makuu sana

Ndiyo, kwa hiyo mwisho wa siku wakiona hawapati support toka kwa USA wataiachia kabisa 100% ili wawakomeshe USA na project zote za ukimwi za USAid , kuuza condoms, ARV's na ajira ziishe kwa USA ziendanazo na ukimwi .

Ila siasa ni mchezo mchafu sana pia wazungu ni wanafiki sana.
 


Hapo, nikufafanulie haya:
1. Mgonjwa atakuwa hajui kifo ndiyo maana atakataa kutumia dawa ; Labda anasikia tu kwa jirani pana msiba na hajaona mgonjwa wa ukimwi.

2. Hizi dini za kuletwa zinapumbaza watu , hivyo watakuwa wamepumbazwa na dini hizi za kigeni. Mfano, nasikia hapo Tanzania zipo hawapeleki watoto hospitalini , wala kuongezea damu wagonjwa yaani ni ujinga uliopitiliza

3. Atakuwa mgonjwa huyo ana matatizo mengine pamoja na ukimwi kwa mfano, ana ukimwi na pia ana maisha magumu kwa hiyo anaona ni bora afe badala ya kuishi. Maana hata akipona ukimwi bado maisha magumu yatammaliza kwa hiyo atagoma kunywa dawa ili afe tu.

Vinginevyo, hata angeambiwa kuwa nguruwe au kumbikumbi ni dawa huyo wa dini nyingine na anaumwa, faster Sana atatumia aisee.

Mbaya , zaidi hiyo dini nyingine hawataweza kupata dawa maana Israel japo na USA kwa asilimia Dogo ndiyo wako na dawa .

Kwa hiyo hawana namna hao dini zingine .
 
hio itakua haram..cc na ndugu zetuwaarabu hatutokunywa 😎😎


Tutawazika tu, Hamna namna aiseee.
Halafu na sala zenu zilivyo ngumu kwa kiarabu hakuna hata kuwaswalia ni kuwatupa tu kwenye shimo na kufunika.
πŸ˜€πŸ˜€
 
Nawasuse, ingia kwene mtandao wa The times of Israel comments za watu dhid ya wenechuk na wayahud utacheka dhiid ya ugunduz huu .coz info hii niliiona January mwaka huu kwenye page hiyo
Nipe link mkuu, na Mimi nikawatukanepo haya makafir mayahudi, angalau niingize Baraka.
 
Wale wadau wa nyama kwa nyama ndo muda sasa
 
Dawa zinavumbuliwa kila siku sema CDC huwa inazipiga chini. Ukimwi ni business kwa watengenezaji wa ARV ko ni ngumu wao kukubali dawa ya kutibu ugonjwa.
Alitokea Dr. Sebi na wakamsakama mbaba wa watu mpaka akafia jela. Kisa tu kujitangaza anayo dawa ya kutibu UKIMWI.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…