Nadhani wamekosea kusema wayahudi/Israel ndiyo wamegundua, ilipaswa waseme kuwa Marekani au nchi nyingine ndiyo wamegundua ili kutoa fursa kwa waathirika wa dini nyingine kuweza kutumia hiyo dawa.
Sasa kwa kutangaza hivyo wengine hawatatumia kwa kuwa bidhaa za nchi hiyo zimesusiwa na dini Fulani pia ni maadui wakuu
Hapo, nikufafanulie haya:
1. Mgonjwa atakuwa hajui kifo ndiyo maana atakataa kutumia dawa ; Labda anasikia tu kwa jirani pana msiba na hajaona mgonjwa wa ukimwi.
2. Hizi dini za kuletwa zinapumbaza watu , hivyo watakuwa wamepumbazwa na dini hizi za kigeni. Mfano, nasikia hapo Tanzania zipo hawapeleki watoto hospitalini , wala kuongezea damu wagonjwa yaani ni ujinga uliopitiliza
3. Atakuwa mgonjwa huyo ana matatizo mengine pamoja na ukimwi kwa mfano, ana ukimwi na pia ana maisha magumu kwa hiyo anaona ni bora afe badala ya kuishi. Maana hata akipona ukimwi bado maisha magumu yatammaliza kwa hiyo atagoma kunywa dawa ili afe tu.
Vinginevyo, hata angeambiwa kuwa nguruwe au kumbikumbi ni dawa huyo wa dini nyingine na anaumwa, faster Sana atatumia aisee.
Mbaya , zaidi hiyo dini nyingine hawataweza kupata dawa maana Israel japo na USA kwa asilimia Dogo ndiyo wako na dawa .
Kwa hiyo hawana namna hao dini zingine .