Dawa inayodaiwa kutibu UKIMWI yagundulika nchini Israel

Status
Not open for further replies.
Ni watu wabaya sana!!!
 
Nhahahaaa idealist manake watu hatupendwi kwanini mnywe dawa zetu
 
Sasa hoja yangu ni ''gammorah"haina uhusiano na ile iliyoangamizwa mbona waipe jina la mji wa mashoga
 
Ngoja kwanza wewe umesema ulipima kweli ukaona una ukimwi au uliota?
 
Wazinzi wanajiandaa kufanya Sherehe!
Acha ujinga wewe. Nani amekudanganya UKIMWI ni ugonjwa wa wazinzi?

Kuna watoto ambao hata hawajui ngono, lakini wanaishi na ugonjwa huu.

Futa hii kauli yako haraka.
 
Isee wewe ni fundi wa propaganda si CDM wakuchukue tu
 
Watafiti wengi wamekuja na habari njema kama hizi na mwishowe hatujawaona tena, hata babu yetu wa kule loliondo naye alikuja na utafiki wake kama huu na wengine wengi,

Ukomwi ni janga la dunia na nchi masikini ndio wahanga wakubwa wa virus vya ukimwi utadhani wanaundugu navyo,

Habari hii natamani iwe kama ilivyo elezwa na kweli ifanye kazi kama ilivyo elezewa, na wangeanza kutoa huduma katika nchi masikin kwa bure bila malipo ,
 
Adui yako akikuambia kula M.A.V.I ni dawa ya kupona magonjwa yako na wewe huna ujanja inabidi u swallow your pride tu huna jinsi
 
Dawa ipo siku mingi sana, huwa naangalia mnavowasikiliza wazungu na kuwaamini as if ndo mungu wenu
 
Ile dini hawanunui supplements wala dawa zisizo thibitishwa na shirika lao la uchunguzi wa chakula na kupigwa alama ya HALAL
 
Kama wanaruhusiwa kula nguruwe ili wasife, sidhani kama watakatazwa kutumia dawa ya waisraeli ili wasife pia. Wachague wenyewe, kifo au tiba.
Ni kweli kabisa, na hii dawa ni muhimu zaidi kuliko Kitimoto wanachokula
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…