Niandike tu kwa kifupi haya yafuatayo:
1. Dawa imekuwepo,
Lakini, tangia miaka ya mwanzoni ya mwaka 1990s dawa ilitakiwa kutolewa baada ya vifo vingi hasa afrika lakini wskapiga chenga . Ila dawa ipo siku nyingi Sana huko Israeli na USA japo Israel, ndiyo wanaelewa formula na composition vizuri.
2. Israel inatumia dawa hiyo kuwatisha USA ambayo imeipinga kwa kupiga kura kinyume chao mwezi January, 2017 pale Paris, ufaransa kikao cha UN.
3. Israel anamaadui wengi, sasa hivi kuliko wakati mwingine baada ya vita baridi, kwa hiyo anatumia Sawa hiyo kama siraha ya kidplomasia kuteka nchi nyingi ili zimsaidie katika maamuzi ya UN na kumtetea.
Sasa, ni kwa nini dawa haikutangzwa mapema, USA walikuwa wanapata hela nyingi sana za michango toka nchi mbali mbali ili kusaidia waathirika kitu ambacho kama nchi wanapata kodi kutokana na michango hiyo.
Kama utaka kuelewa hili la michango, hebu rejea kesi ya Clinton Foundation ambayo imetikisa USA na hasa wakati wa uchaguzi japo hiyo kesi au issue ilikuwepo kabla ya uchaguzi mwaka jana November, 2016 .
Pia, issue nzima ya aira USA iliona itapoteza ajira nyingi sana za watu wake na baadhi ya projects zao zitakufa kama za ARV's , condoms na vitu kama hivyo.
Hivyo, kwa ujumla dawa zipo siku nyingi sana na ndiyo maana unaona Israel inatikisa kiberiti kwa kusema kuwa Sawa yao INA uwezo wa 97% kuponya ila ukweli ni kuwa inauwezo wa 100% kuponya kwa sababu, ugunduzi wa miaka hiyo waisraeli ndiyo walioufanya miaka hiyo wakiwa na USA japo, kanuni zote wao ndiyo walionazo.
Ila, angalizo, hiyo dawa inaweza ikapotea sokoni endapo utawala wa Trump utakuwa uko na msaada wa uhakika kwa Taifa la Israeli.
Lakini, ikiwa USA hawataisaidia Israel basi itakuwepo na itaponya na ndiyo maana wamesema baada ya mwaka mmoja watatimiza hiyo formula ya dawa ili iponye asilimia 100% lakini huo muda wameutoa kama angalizo kwa USA kujirekebisha kuhusu siasa zake na msitakabali wao juu ya Taifa hilo la Israel.
Kwa hiyo, watu msiruke majoka huko Tz mkijua kuwa dawa tayari ipo , ila ukweli ni huo kuwa lolote laweza kutokea tena wakati wowote ule.
Ni hayo tu, nimesema ninachojua wengine waongezee.